Mrejesho: Nimeng'oa lile jino, limenisumbua 10years nikiogopa kuchomwa sindano ya mdomoni

Meno ya mwisho wataalamu hawayapi umuhimu sana

Mimi niliyeng'oa sijaona kupungukiwa.


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sio la mwisho ,,,kwa hiyo ling'olewe wakati haliumi
 
Inauma sana?
 
Nimechek sana et dokt feki na pole kwa maswahibu mkuu ya jino
 
Lilikuwa la chini sema huyo dr. Hakuwa tu mtaalam mzuri labda wa kuchoma ganzi!! Au ganzi zilikuwa zime kwisha muda wake
Wanasema kama unatumia pombe ukichomwa ganzi haishiki
Nimewahi kung'oa mawili tena ya juu ila mpaka Leo sijui maumivu ya kung'oa meno
 
Yaonekana ulikuwa unakula sana kisamvu...jino limejaa ukijani wa kisamvu kwa ndani.
Vegetarian....safi sana
 
Duuh wadudu wamelitafuna sana.

Sipati picha mdomo ulivyokuwa unanuka.

huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
 
Hapo sawa maana jino la juu hata madaktari inasemekana hawashauri ling'olewe maana linaweza kusababisha mgonjwa akapooza au kupoteza maisha.
OMG ucseme hvyo mkuu Jmn mpka nimeogopa mi Nina wiki mbili tangu ning'oe hilo jino LA juu limenisumbua kupona sasa hvi ndo maumivu yamepungua shavu lilivimba kaa mimba ya panya!!!!
 
Angelitumia njia ya kusukutuwa mkojo wake wa Asubuhi wala asingetoa hilo jino lake na asingeumwa maishani mwake jino tena.
Hii dozi ni kwa mda gani??mana mi bado nina meno 3 ya kung'oa nimetoa moja bado hyo!!mawili chini na moja juu nipeni msaada jmn nicitoe mana naogopa!!
 
Hii dozi ni kwa mda gani??mana mi bado nina meno 3 ya kung'oa nimetoa moja bado hyo!!mawili chini na moja juu nipeni msaada jmn nicitoe mana naogopa!!
Ni siku 3 Unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu nenda chooni kakinge mkojo wako kisha weka ndani ya mdomo kwa dakika 5 unasukutuwa baada ya dakika 5 tema mkojo wako kaa kwa dakika 30 piga mswaki osha mdomo wako unaweza pia kunyw achai fany a hivyo siku 3 huto umwa tena na maradhi ya meno maishani mwako. Mimi Nimefanya mwaka 2011 sijawahi tena kuumwa na maradhi ya meno na wala mafizi. Jaribu utakuja kunipa Feedback.
 
Axnte mkuu dah nilikuwa nawaza meno yte hya natoaje mana hili moja nililotoa nilivimba shavu wki nzima sili chakula vzr limenisumbua kupona wki mbili ndo napata nafuu xa nikawa nawaza na hya mengine itakuwa hvyohvyo;;yananitesa hasa hili moja LA juu cwez kula nyama;au kitu cha moto [emoji26] [emoji26]
 
Mbona sijakuelewa umepona au

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…