Mrejesho: Nimeng'oa lile jino, limenisumbua 10years nikiogopa kuchomwa sindano ya mdomoni

Mrejesho: Nimeng'oa lile jino, limenisumbua 10years nikiogopa kuchomwa sindano ya mdomoni

Meno ya mwisho wataalamu hawayapi umuhimu sana

Mimi niliyeng'oa sijaona kupungukiwa.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sio la mwisho ,,,kwa hiyo ling'olewe wakati haliumi
 
Root canal kama inavyosemwa ni kwamba daktari anakata mshipa wa fahamu ambao ndio unafanya uhisi maumivu kwenye jino na anakata pia mshipa wa unaopeleka damu kwenye jino na kisha anaiziba na baada ya hapo anasafisha jino ili kuondoa uchafu na wadudu na kuliziba kabisa.
Inauma sana?
 
Kutoa jino si kazi sana ila umpate mtaalam wa ukweli!! Mimi mwaka jana nilikuwa na jino linanisumbua nikiwa bukoba nikaenda hospital moja iko hapo bukoba mjini karibu na lina,'s bar pembezoni na mto kanoni kama unaenda buyekera bwana weee!! Dr. Atakuwa fake yule alinichoma sindano za ganzi 4!!!bila mafanikio!! Ganzi haishiki eti akaniambia kuwa inaonekana mimi ni mnywaji wa pombe kali ndio maana ganzi haikubali!!! Nilimjibu jibu moja tu akasema toka humu au umetumwa?!! Eti nirudi kesho kutwa yake!!! Pombe ziishee mwilini wakati tangu maisha yangu yote sijawahi onja pombe!! Kesho yake nikaenda government kuna mtaaalam kiboko MSWALI SUNA(MZEE WA VIPEDO)yule bwana kwa bukoba kila mtu huwa anataka atolewe jino na huyu na yupo pale toka miaka ya 1996!!!alinipiga ganzi moja tu chali '! Jino likatoka kiulaini!! Nikaenda nalo kumuonyesha yule dr. Fake kuwa unaona watu wenye fani zao wameweza!! Aliniangalia nilimkolomea kichizi, kuwa wanatumia labda ganzi zilizoishi muda wake.
Nimechek sana et dokt feki na pole kwa maswahibu mkuu ya jino
 
Lilikuwa la chini sema huyo dr. Hakuwa tu mtaalam mzuri labda wa kuchoma ganzi!! Au ganzi zilikuwa zime kwisha muda wake
Wanasema kama unatumia pombe ukichomwa ganzi haishiki
Nimewahi kung'oa mawili tena ya juu ila mpaka Leo sijui maumivu ya kung'oa meno
 
Jino langu linauma sana usiku

Hili ni jino langu la kwanza kung'oa.

6e4ed3dd442fc249930951e230608f95.jpg

Wakuu nimevumilia maumivu ya hili jino kwa miaka 10 sasa.

Jana na lenyewe likazidisha maumivu makali mno, nilibaatika kupata chembe ya usingizi saa saba usiku ila saa tisa ukaisha nikaendelea kuumwa sana, saa tisa na nusu nilikuwa nimeshaoga na kuvaa tayari kwa kumuona dr.

Nimeindoka nyumbani saa kumi ndani ya lisaa tu nilishafika.

Dr. Alikuja saa mbili akanikuta nimekaa mlangoni.

Sababu ya uvumilivu huu ni kuogopa kuchomwa sindano ya mdomoni. Naogopa sana sindano

Pili niliambiwa uking'oa, wadudu huamia jino linolofuata, ila nimekuta na watu wengi sana ambao wameng'oa bila kupitia hali hii

Tatu nilikuwa mdogo naogopa kuwa kibogoyo, ndani ya hii miaka nshakuwa mzee mjue ee. So wacha ning'oe

Napenda kuwatia moyo hakuna maumivu ya hiivyo. Kayatoeni tu, kama yanauma ndo dawa.

Ndani ya hii miaka 10 nimetumia kila aina ya dawa mnayoijua ila zilinikataa.
Nawashukuru kwa ushauri pamoja na kwamba nilichelewa kuchukua maamuzi sahihi ya kulitoa kama wengi mlivyoshauri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Yaonekana ulikuwa unakula sana kisamvu...jino limejaa ukijani wa kisamvu kwa ndani.
Vegetarian....safi sana
 
Duuh wadudu wamelitafuna sana.

Sipati picha mdomo ulivyokuwa unanuka.

huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
 
Hapo sawa maana jino la juu hata madaktari inasemekana hawashauri ling'olewe maana linaweza kusababisha mgonjwa akapooza au kupoteza maisha.
OMG ucseme hvyo mkuu Jmn mpka nimeogopa mi Nina wiki mbili tangu ning'oe hilo jino LA juu limenisumbua kupona sasa hvi ndo maumivu yamepungua shavu lilivimba kaa mimba ya panya!!!!
 
Angelitumia njia ya kusukutuwa mkojo wake wa Asubuhi wala asingetoa hilo jino lake na asingeumwa maishani mwake jino tena.
Hii dozi ni kwa mda gani??mana mi bado nina meno 3 ya kung'oa nimetoa moja bado hyo!!mawili chini na moja juu nipeni msaada jmn nicitoe mana naogopa!!
 
Hii dozi ni kwa mda gani??mana mi bado nina meno 3 ya kung'oa nimetoa moja bado hyo!!mawili chini na moja juu nipeni msaada jmn nicitoe mana naogopa!!
Ni siku 3 Unapo amka asubuhi kabla ya kula kitu au kunywa kitu nenda chooni kakinge mkojo wako kisha weka ndani ya mdomo kwa dakika 5 unasukutuwa baada ya dakika 5 tema mkojo wako kaa kwa dakika 30 piga mswaki osha mdomo wako unaweza pia kunyw achai fany a hivyo siku 3 huto umwa tena na maradhi ya meno maishani mwako. Mimi Nimefanya mwaka 2011 sijawahi tena kuumwa na maradhi ya meno na wala mafizi. Jaribu utakuja kunipa Feedback.
 
Axnte mkuu dah nilikuwa nawaza meno yte hya natoaje mana hili moja nililotoa nilivimba shavu wki nzima sili chakula vzr limenisumbua kupona wki mbili ndo napata nafuu xa nikawa nawaza na hya mengine itakuwa hvyohvyo;;yananitesa hasa hili moja LA juu cwez kula nyama;au kitu cha moto [emoji26] [emoji26]
 
Mbona sijakuelewa umepona au

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom