Mrejesho: Nimepata mchumba

Mrejesho: Nimepata mchumba

Hivi ulimpa nini jamaa mpaka akajihisi mnakaribia kufunga ndoa?
Humu JF si member wanapanda vyeo kadri anavyotuma threads na ku comment!!!! atakuwa alikuwa anapandisha credit zake tu
 
Wakikurusha roho wa kuidaka na kuituliza pia wapo watakupa ushauri humu mpaka utashangaa.

Sema unaonekana una wivu huyo jamaa ajipange...
We si mchezo
 
Habari zenu wana MMU,

Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma,

Ilisema; Natafuta mpenzi

Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehe ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac.

Ahsanteni sana.
Mkuu una cheti cha kuzaliwa..??
 
Habari zenu wana MMU,

Nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma,

Ilisema; Natafuta mpenzi

Nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na mimi na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehe ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac.

Ahsanteni sana.
Duh! Kumbe ndomana nikakosa kujibiwa pm yangu.
 
Joined Feb 26/2017
Matangazo ya mchumba tar 13/2017
Umepata tar 15 Mar 2017

Mapenzi kiditali
 
Back
Top Bottom