Mrejesho: Nimepata yule ninayemtaka

Uzuri makaburi yote yana alama ya msalaba siku ukileta uzi mwingine tutaanza kupekua misalaba yako.
 
hahaaa...mkuu kwani siku kuambia..acc yangu ilikuwa hacked... zile comment sio zangu aisee.""
Wewe uliyehack hii account hebu rudisha kwa mwenye nayo!!.. Tunayemjua hanaga kusingizia hivii!!..😱 😱
 
Mkuu sasa ulitaka nione yule manzi "" anajulikana Jf nzima "" ulitaka niuweke rehani moyo ama "" au furaha yako nikuona nikibabuka moyo
Kajielezee vizuri kwa Miss Natafuta aelewe utapeli wako haiwezekani watu wawili tukusingizie!..
 
Wewe uliyehack hii account hebu rudisha kwa mwenye nayo!!.. Tunayemjua hanaga kusingizia hivii!!..😱 😱
unatafuta defence mechanism"" acc yangu "" ipo Salama "" na ninacho kwambia...kina ukweli"" ulichomfanyia Binti wawatu sio aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…