tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Sijakuelew tindikali. Funguka zaidi.
mkuu niliomba ushauri kuhusu malaria iliyokuwa ikinisumbua kwa muda mrefu...sasa moja ya ushauri nilielekezwa hiyo dawa!! Wadau waliomba feedback na ndicho nilichokifanya
Kwanza niwashukuru wote walionishauri kwenye thread niliyoomba ushauri kuhusu malaria...
Kuna mdau alinielekeza nije kwa Kishamba hapa Majengo Moshi. Nimepima na hakuna tena wadudu wa malaria ila nimekutwa na infection kwenye mkojo na minyoo pia!!
Nitawapa maendeleo zaidi maana bado sijisikii vizuri.
Mungu awabariki!!
cc Mzizi Mkavu
Ukipima maleria lazma ukute maleria. Ni kama vile unapima tindikali kwa kutumia litmus paper.
Unatakiwa upime damu.
Mkuu tindikalikali Asante kwa kutupa Feedback Lakini huo Mrejesho wako ungelisema hiviKwanza niwashukuru wote walionishauri kwenye thread niliyoomba ushauri kuhusu malaria...
Kuna mdau alinielekeza nije kwa Kishamba hapa Majengo Moshi. Nimepima na hakuna tena wadudu wa malaria ila nimekutwa na infection kwenye mkojo na minyoo pia!!
Nitawapa maendeleo zaidi maana bado sijisikii vizuri.
Mungu awabariki!!
cc Mzizi Mkavu
Mkuu Fadhili Paulo sisi Binadamu tupo tofauti sana Binadamu ukimfanyia wema binadamu mwenzio basi atakulipa maovu. Bora kumfanyia wema mnyama hatasahau wema wako kuliko kumfanyia Binadamu wema atakulipa maovu. Waswahili wanasema hivi Tenda wema wendezako wewe usingojee shukurani weeeeeeeeeMkuu, umefanya vizuri kuleta feedback, watu wengi wanashindwa kufanya hivyo. Infections gani hizo zimekutwa kwenye mkojo?.
Mkuu tindikalikali Asante kwa kutupa Feedback Lakini huo Mrejesho wako ungelisema hivi
Wakuu wenzangu ninawashukuruni nyote mulionipa mawazo kuhusu namna ya kujitibu Homa ya Malaria dawa nilizo tumia
Vitunguu Saumu na Limau kwa muda wa siku 4 vimenisaidia Vitunguu Saumu na Malimau na nimepona . Na nimekwenda kupima wamesema sina tena Malaria vijidudu
vimekufa asanteni sana na pia asante zangu zimuendee Mkuu MziziMkavu kwa mchango wake juu yangu. Kisha ndio
useme katika kupima kwako umekutwa na matatizo ya Infection kwenye mkojo na minyoo huenda una matatizo ya
Maradhi ya ( UTI) itabidi uende tena kwa Ma-Daktari kukuangalia vizuri zaidi Unatoa Mrejesho wako nusunusu ndio maana watu wengine
hawa kukuelewa vizuri asante kwa Mrejesho wako.