Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Haha baba Celina Ana itwa Celina .....kama na kuona kwenye Ile nyumba ake upande wa pili sero ahaaa ukiwa unakula tunda kimasihara wahuni wafungwa Wana skilzia mikito ......,uko tabora Nini mkuu???? Pale ametoka siku hizi

Kuna jamaa mmoja anaishi kijiji hicho ambacho ulikuwa unaishi mwenyeji wa Kahama kuna muda anaendesha bodaboda sijui kama unaweza ukawa unampata
 
Kuna jamaa mmoja anaishi kijiji hicho ambacho ulikuwa unaishi mwenyeji wa Kahama kuna muda anaendesha bodaboda sijui kama unaweza ukawa unampata
Hapan huyu mwamba simpati mkuu jamaaa Yako???? Niliwa zoea walimu wa pale shule Kuna jamaaa wawil wasukuma walimu ,moka mkuu muha .
 
KWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWESE
 
KWAHIYO BROO KUMBE HADI WANYARWANDA WAPO HUKO MWE
 
Ubarikiwee mkuu umenipa kitu cha thamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…