Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mkuu mleta uzi nimebahatika kukutana na jamaa ambae kwa sasa ananifanyia kazi zangu za shamba alikuwa huko mwese no3
Anasema ardhi ni nzuri sana karanga,maharage,mahindi yanakubali sana hajwahi ona!! alizeti anasema inakuw kubwa hajawahi ona mvua haijawahi goma kule hakuna kulima ukakoswa .......Kanisimulia mengi sana
kasema nyama pori zipo maziwa mengi sana kuku bei chee mno ufugaji sio wa gharama kubwa Nimevutiwa sana na haya aliyosema kasema samaki wapo migebuka kule na dagaa wa kigoma hakuna zao utalima likagoma.
Thibitisha mkuu wangu Jifunafu