Mass bissness
Member
- Sep 12, 2024
- 15
- 13
Hapana Mkuu me sipo Dsm nipo Arusha now, yaani nilimaanisha umbali wa Mpanda mjini to Mwesse no.4, naweza kwenda na kurudi kwa pikipiki, maana naskia usafiri ni shida hivyo nataka nije na boda yangu kabisa ya kukusanyia mazao, ila boda nitasafirisha kwa gari ili inirahisishie shughuli zangu, na natafuta sehm nzuri ya kufugia mifugo yangu Kama ntapata huko Mwesse!!Pikipiki kutoka dsm Hadi mwese??? Ukifika lazima ukalazwe mwese tu Hadi katavi mjini safari ndefu sanaa