Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Pikipiki kutoka dsm Hadi mwese??? Ukifika lazima ukalazwe mwese tu Hadi katavi mjini safari ndefu sanaa
Hapana Mkuu me sipo Dsm nipo Arusha now, yaani nilimaanisha umbali wa Mpanda mjini to Mwesse no.4, naweza kwenda na kurudi kwa pikipiki, maana naskia usafiri ni shida hivyo nataka nije na boda yangu kabisa ya kukusanyia mazao, ila boda nitasafirisha kwa gari ili inirahisishie shughuli zangu, na natafuta sehm nzuri ya kufugia mifugo yangu Kama ntapata huko Mwesse!!
 
Umbali mrefu sana mkuu Kwa boda boda maan Kwa bus tu umbali wa masaa 7 toka katavi Hadi mwese namba 4
 
Wadau naomba nitoe pongezi kwa muandaa this educational post na wote ambao wamechangia ama kutoa mrejesho juu ya mada husika...

Wengi inaonekana wamevutiwa ama wana nia ya kufanya jambo fulan la aidha kilimo, biashara ama ufugaji lakn changamoto imekua ubize na pia mtandao na sababu zingine mbali mbali napendekeza tuanzishe group la whatsapp ambapo itakua rahisi kwq mawasiliano na kupata mrejesho timely, na pia humo tutajadili fursa mbali mbali zinazoweza patikana pahala popote, tufosi mpaka tutoboe.

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom