Mrejesho: Shemeji aliyekuwa akitaka niishi na mtoto wake kwangu kaondoka bila kuaga kaenda kutafuta maisha mkoa mwingine kaacha mtoto kwa mama yake

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu kama mnakumbuka kisa changu cha shemeji yangu wabkike Dada wa mke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wa kwenda kazini kwake kutafuta riziki...

Sasa rasm kaamua kutokomea kusikojulikana kwenda kutafuta maisha mkoa mwingine n kuacha mtoto wake kwa mama yake amlelee na baba watoto yupo anadunda mtoto yuko darasa la kwanza.

Kumbe ilikua gia yake ya kutaka kuishi naye atokee kwangu kwenda shule ili yeye apate wasaa wa kwenda kutafuta ilikuwa ni gia ya kupanga mipango yak uondoka kwenda mkoa mwingine kutafuta maisha.

Wakuu tuache kukimbia majukumu ya vizazi vyetu tuwajibike

Pia soma: Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo
 
Habar wakuu Kama mnakumbuka kisa changu Cha shemeji yangu wakike Dada wamke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wakwenda kazini kwake kutafuta rizki...
Marufuku kuzaa kama hujajipanga kulea mtoto.
 
Kwani huyo mkeo na huyo dada ake hawana kwao ampeleke?
 
Habari wakuu kama mnakumbuka kisa changu cha shemeji yangu wabkike Dada wa mke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wa kwenda kazini kwake kutafuta riziki...

Sasa rasm kaamua kutokomea kusikojulikana kwenda kutafuta maisha mkoa mwingine n kuacha mtoto wake kwa mama yake amlelee na baba watoto yupo anadunda mtoto yuko darasa la kwanza.

Kumbe ilikua gia yake ya kutaka kuishi naye atokee kwangu kwenda shule ili yeye apate wasaa wa kwenda kutafuta ilikuwa ni gia ya kupanga mipango yak uondoka kwenda mkoa mwingine kutafuta maisha.

Wakuu tuache kukimbia majukumu ya vizazi vyetu tuwajibike

Pia soma: Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo
Mkuu bado dogo anakuja kwako??
 
Back
Top Bottom