T 1984 CON
Member
- Apr 15, 2017
- 49
- 81
Asante, ila wasiwe wale wa kona bar mkuuNgoja nikuangalizie huku mtaani kwetu.
Mkuu nlifikiri ungesema huu mtalimbo ndo tatizo..unasema kibamia tena!hahaha, mkuu kama una kibamia na huna pesa hilo swala futa kabisa kipata babies humu 😀😀😀
BRO UNATAKA KUTONGOZEWA?Asante, ila wasiwe wale wa kona bar mkuu
Ndio mwenda wazimu, tena kama angenisaidia na gheto ngeshukuru mana huku kwetu...!BRO UNATAKA KUTONGOZEWA?
Uko depo nini?jamani msaidieni mtanzania mwenzetuNdio mwenda wazimu, tena kama angenisaidia na gheto ngeshukuru mana huku kwetu...!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Asante, ila wasiwe wale wa kona bar mkuu
[emoji125] [emoji124] [emoji125] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Ndio mwenda wazimu, tena kama angenisaidia na gheto ngeshukuru mana huku kwetu...!
hahaha, sie twaona mitalimbo wao wanaona vibamia😀Mkuu nlifikiri ungesema huu mtalimbo ndo tatizo..unasema kibamia tena!
Au kuna mwanasiasa anatumia nyota yangu?!!
HahahhaahahahahahMwamkazeze,
Sijawahi kufanikiwa kupata mchumba humu tangu nianze kutafuta, Embu nioneeni huruma. Hata kama nna nyota ya bashite hii too much!
Kweli binadamu hawana huruma!
Tupendane jamani ht kwa wasio na pesa!