MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Shoga angu hapo kuna ma3 kama sio ma4
1. Yuko na penzi jipya huko nje na linafanya vizuri kwa sasa
2. Amekukinai (pengine umebweteka, umepoa, mashsham huna tena au udambu udambu hakuna )

3. Ameenza michezo mibaya (kapewa jicho huko nje )
4. Yuko na stress zake(ila sidhaniπŸ˜…πŸ˜…)
Fanya kuchunguza, mtoto wa kike play smart, badilisha mbinu, au hujui power of P**sy
Ila pia mpe muda


NB: ni kwa uelewa wangu mdogo tu shoga angu me sijaolewa syajui ya ndoaniπŸ˜…πŸ˜…

Joanah njoo utoe ushauri
 
Mapenzi ni hisia,
Huyo hana feeling na wewe teba,toka usingizini,pia usije ukajiongopea kua kuchepuka ndio solution ya tatizo lako,

Yangu ni hayo tu,the rest is up to you
Sasa ebu nishauri nifanyaje au nipe njia Bora ya kutatua hili tatizo kiukweli akili yangu sahivi ni Kama imeshafeli maana nmefanya kila jitihada Ila zimegonga mwamba
 
Unataka kucheka lakini unajizuia moja ya sababu yaweza kuwa alicheza nje ya ulingo na amegundua mchepuko ana umeme sasa kapima maramoja anasubiri miezi 3 ipite ajiridhishe , usitumie force huo sio ugali kuwa asipokula atakufa no way.... jaribu tafuta physiologist aweza kuwa chini ya msongo mkali wa mawazo kazini au kwao ni mawazo tu na ususahau maombi ombea ndoa yako .
 
Sasa wewe miss chuga ukichepuka ndiyo umepata suluhisho ya ndoa YENU embu acha uhuni wako yaan nyege ndio zinakufanya uwe ivyo duhhh Hadi unataka uchepuke mhhh kaa utafakari na MWENZIO jinsi yakutatua TATIZO usije ukachepuka ukamletea MWENZIO magonjwa .......HALAFU UTASIKIA WANAUME NDIO WANAONGOZA KWA KU CHEAT .....ILA IT'S UPON YOUR MIND MI USHAURI WANGU NI HUO TU
 
Huenda mmoja wenu anajua kuna tatizo na mwingine halijui tatizo.
 
Nimeshafanya mbinu zote ndugu yangu Ila hamna lolote Kuna wakati nawaza kalogwa bana eh! Nshajikatia tamaa mtu gani huyu Kuna siku niliamka na hasira nikataka kuondoka alichanganyikiwa kiukweli alivyosikia naondoka bahati nzuri Kuna mtu mzima aliingilia kutusuluisha nikamwelezea matatizo yang na mme wangu akiwepo uzuri yule baba ni mtu mzima Kama baba yetu akamwambia mwanangu jitahidi umridhishe mke wako usipofanya hivyo unamtengenezea mazingira ya kuanza kukusaliti alitushauri tu vitu vingi. akanambia mke wangu naomba usiondoke baada ya hapo nikajua hata tutafanya Ila wapi ana kazi tu ya kunipet pet nisiondoke inakera kwakweli Kuna muda kichwa kinajaa mawazo natamani hata nipige ukunga
 
Je mashine yake inasimama?? Sisi wanaume kila asubuhi lazima mashine isimame, na pia mrembo akiipapasa mashine hata kama ulikuwa usingizini itainuka ghafla na kusimama. Je huyo mumeo hizi sifa anazo??

Hebu tuanzie hapo kwanza. Isije ikawa amepoteza nguvu za kiume halafu anavunga!!
 
Watu tunatafuta wake watakaokuwa wanatupa mizagamuo kila tukihitaji,maana tulio nao Ni wavivu kila ukiomba tu unaambiwa nimechoka,unajikuta unapata Mara Moja kwa wiki,Kuna jamaa huko analalamikiwa eti hataki kula tunda.

Dunia haina usawa kabisa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Poleni sana
 
Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Haya Uzi ufungwe.
Jichunguze , muulize shosti wako kwa undani kuhusu harufu ya ki
 
Ko shoga angu haupati mjegeje?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unalala na mumeo kama kaka ako?

Una watoto?

Hasira za genye na kale kakisirani unammalizia nani ? Bora ujue uko single
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…