The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Unashangilia ujinga badala utafute mume uolewe utulie unaruka ruka mwisho uje umpelekee kijana wa watu atakaejipendekeza kukuoa kitu kama hiki....Jamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.
Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.