Baada ya kuandika uzi kuhusu kumtelekeza mke wangu maana nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita, Sasa wakati natafakari njia nzuri ya kumuacha maana bado Niko nae ,leo tukiwa tumelala nikaamua nichakate mbususu maana Nilikua na upwilu baada ya kuchakata nikalala
Muda so mrefu nikaota ndoto nipo sokoni nimepoteza viatu alafu nilipo taka kununua vingine navyo vikachanika wakati najaribu kuvaa hata kabla sijalipia mala ghafla nikishtuka mpaka sasa sijaelewa maana yake nini
Pia soma: Nina mpango wa kumtelekeza mke