Wadau natumai mko poa.
Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati nzuri au mbaya tukakorofishana akaamua kuachana na mm km uzi wangu wa awali ulivyokuwa unasimulia.
Kila njia nilifanya nirudiane nae zikagonga mwamba. Hatimaye nikakata tamaa. nikinukuu mawazo ya mdau mmoja alisema "ni heri kuanzisha mahusiano mapya itakuwa na faida kuliko kulazimisha huo uhusiano" mwingine alisema "uamuzi wa busara ni kuamua kumuacha mtu unaempenda japokuwa moyoni utaumia" nilitembea na mawazo ya hawa wadau hatimaye nikafanikiwa kumsahau yule binti japo mara moja moja sana namkumbuka
Tangu niachane nae nishapita na mahusiano na watu watatu lkn bado sijapata nitakako. Ajabu yule binti tulie achana ameanza kunitafuta akiomba msamaha turudiane alikosea kusema tuachane malalamiko mengi sana. Ukweli kwa sasa moyo wangu ni mzito sana kurudi kwake japo najua nampenda ila imani ishatoweka kwa huyu mtu. I'm confused wadau km ni wewe utaendelea kusaka mpya au urudishe majeshi.
Naomba mawazo kidogo
Pia soma: Msaada wa mawazo marafiki zangu wazuri