- Thread starter
- #21
Nitafanyia kazi hilo shukraniUandishi wa kuzingatia aya na vituo unavutia kusoma na kukutambulisha vizuri kwa hadhira, hata kama ni mwanasayansi, kuandika aya moja yenye hoja tofauti tofauti tena bila kujua sentensi inaanzia wapi na inaishia wapi kunachosha.