Mrejesho: Tangu niachane naye nishapita na mahusiano na watu watatu lakini bado sijapata nitakako

amua chochote mkuu maisha hayana formula, muhimu tu ni afya yako
 
Nimewahi kuwa na situation kama yako kwa mwanamke ambae nilimpenda sana sijawahi kupenda vile maisha yote. Akaja kunicheat na mshikaji fulani hivi ambae baadae nae alijua, so alinitafuta tukakutana kabisa na ushahidi nikapata maana waliongea kwa simu mbele yangu na full kusema hawezi msaliti jamaa.
Niliumia vibaya mno tukaachana alikuja kurudi baada ya kama miezi 7 hivi na kuomba msamaha kwingi, asikwambia mtu nilikua nampenda haswa na alikua anajua so akanikumbatia asee moyo ulikua unakimbia usein Bolt akasome, akili na moyo vinapingana LAKINI nikasema no way sirudi nyuma nampenda ndio lakini acha niendelee kuumia.
Nikachomoa yeye hakuamini na mimi sikuamini hahaha ujasiri niliupata wapi akasepa,nikaawaambia washkaji zangu nimemkataa pia hawakuamini nimewazaje,mpaka leo huwa wanasema nina moyo mgumu sana.
KWAHIYO MKUU USIRUDI NYUMA USIKUBALI KUWA OPTION.
 
MTU akishakimbia usimkimbilie,japo ni ngumu ila kaza
 
Hapa panahitaji hekima sanaa kufanya maamuzi,mm nlikuwa na wangu nlikuwa nampenda sanaaa,ila cjui alishajua kuwa nampenda akaamuwa kutikisa kiberiti,jmos moja iv tulivu nmejilaza iv nikamtumia vocha iv ili tuchat kidogo ku buy time....hatujafikia hata msg ya tatu mra nikaona mgs kutoka kwake hadi nikahis labda kakosea,msg ilisema," D sion kama nina amani kama zamani cz nlichokifanya najutia,siwez kuwa gf wako,u deserve better than me"ndo kumuuliza umefanyaje A?alinambia "nmecheat na nakuwa na guilty sanaa kuendelea nawe" ....ckuumia sanaa kwq muda huo kwan nlikuwa kwny panic tu,ila nkaamua kupiga tu kimya,mara wik ikakata,nmepost picha flan iv na rafik zangu tunajirusha kidogo,.....akafanya kureply"D umenenepa"nlifanya kama cjaiona ile msg,kama cku moja iv kupita ili nifanye kutengana nae moja kwa moja,nliamua kumtongoza rafik yake,alichokuwa anafanya ni kumtete rafik yake kuwa et hakucheat ila alikuwa tu ananipima kama nampenda,...plus yy na huyu dem wote nikawatukana na kuwapiga block kila mahali.......ila kwa ss kuna ka moyo ka kuendelea kumkumbuka cjui kanatokea wapi?
 
Mapenzi yalivyo na uboya, sisi tunatumia muda wetu na Mb zetu kutype na kumpa ushauri, ila lidemu lake likimtumia "I miss you mbili na Am sorry moja" utashangaa jamaa linamrudia
Hahahah umenifanya nicheke kwa sauti sana ndg yangu. Hapana sio kirahisi kihivyo nakili hapo awali nilikuwa nampenda sana ila kwa sasa si km zaman nipo kawaida sana pressure sina tena
 
Uandishi wa kuzingatia aya na vituo unavutia kusoma na kukutambulisha vizuri kwa hadhira, hata kama ni mwanasayansi, kuandika aya moja yenye hoja tofauti tofauti tena bila kujua sentensi inaanzia wapi na inaishia wapi kunachosha.
Lakin umemwelewa sio?
 
Kwakweli ujasiri unahitajika hakuna kurudi nyuma pamoja sana kaka!
 
Ngumu kumeza hii kwakwl
 
Ngumu kumeza hii kwakwl
Unambie nlikosea wap mkuu kama mtu anakiri mwenyew ka cheat?ila analoniwazisha zaid n huo ujasir wa kunambia vile,najarbu kuona labda kaamua kuwa trasparent kwang,bt still hai make sense
 
Point sana kaka. Pamoja sana

Mwanamke kapata jamaa alokuwa anampenda kuliko wewe kamla kimasihara probably kampa mpaka mimba kaikataa mwanamke kaitoa ndio anataka kurudi kwako umsamehe yan wewe apo ni chaguo la pili chaguo lake la kwanza limefeli, unaenda kujimaliza aisee
 

Anataka kuoa demu wa masela [emoji1787][emoji1787]
 
Aseeeeh kuna watu wanateseka na mapenzi kiasi hiki? Hivi inakuaje kuaje yaan, au mie ndo sielewi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nwei poleeh sana. Kuna maisha mengine nje ya mapenzi.
 
Ukweli ni kwamba msela wake either kafa , kafulia au kaachwa ndio maana anakutafuta tena.
Ukimrudia mtaishi then atakuacha tena siku atakapokaa tena imara na msela wake au mpata mpenzi mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…