Mrejesho tena. Jiwe kwenye figo

mmmh naona kama nachezewa kimazingara[emoji848][emoji848][emoji848]
Hili la PROSTATE naombeni majibu wakuu" VERY TINY HYPERCHOIC LESION ina maana gani???
Majibu napeleka next week
 
Una miaka mingapi boss tuanzie hapo.
Mbona kama unaanza kubdevelop BPH mapema hivi wakati umri bado
hypoechoic nodule, au lession inaweza kua sign ya kua umedevelop prostate cancer.
 
Dah Mungu amuepushie
 
mmmh naona kama nachezewa kimazingara[emoji848][emoji848][emoji848]
Hili la PROSTATE naombeni majibu wakuu" VERY TINY HYPERCHOIC LESION ina maana gani???
Majibu napeleka next week
Mkuu usipanic
Mungu wetu atakufanyia wepesi.
 
mmmh naona kama nachezewa kimazingara[emoji848][emoji848][emoji848]
Hili la PROSTATE naombeni majibu wakuu" VERY TINY HYPERCHOIC LESION ina maana gani???
Majibu napeleka next week
Very tiny hyperechoic lession= kivimbe kidogo sana kinachong'aa
 
Una miaka mingapi boss tuanzie hapo.
Mbona kama unaanza kubdevelop BPH mapema hivi wakati umri bado
hypoechoic nodule, au lession inaweza kua sign ya kua umedevelop prostate cancer.
Yesuu[emoji26][emoji26][emoji40][emoji40] 29 yrs
 
Tulia, fuata zaidi maelekezo ya daktari wako na pia kama una hoja au maswali muulize yeye...huku mitandaoni utachanganyikiwa.
Daah kabisaa maana imebidi nikimbie niende hospital nyingine uku mjini na majibu yangu anisomee vizuri yako vipi...maana[emoji119]
 
UMU PRESHA TUPUUU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DOKTA KASEMA HAKUNA CHA VIASHIRIA VYA KANSA WALA NINI[emoji23][emoji23]
NI KIJIWE KINAELEKEA KUSHUKA KUELEKEA KWENYE KIBOFU

ila haya maumivu ninayo yasikia kama wembe unapita kwenye blada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…