MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Duuuh? Polee sana mkuu,

ila afadhali kila kitu Mungu aliweka wazi na ukaendelea na mishe zako!!!
 
Ya nini? Watu wenyewe makapuku wa kutupwa.
Kipindi cha ujauzito ilikuwa full vizinga toka ukweni.
Kipindi mtoto anadai kutamani ubuyu usiku mkali mama mkwe anatuma msg baba umeme umeisha.

Wasingekuwa na cha kunilipa zaidi ya kuniroga tu.
Na wewe ungewapa heka heka tu
 
Mkuu, usioe sababu ya mtoto! Check DNA mapema usije ukaleta majanga kwa hasira huko mbeleni kuoa kisa mtoto ambaye sio wako.

SIO ya kusimuliwa, nimewahi kuona vijana wa tatu wanatunza mimba moja.
 
USIKULIZE moyo wako. Mambo ya Ndoa bwana acha tu. Ila binafsi Mimi, siwezi kurudiana na mtu niliyeachana nae.
 
Nikiwa namto-mba demu huwa namwaga shahawa nje kwenye mapaja wake au mdomoni mwake. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸš¬πŸš¬πŸš¬
 
Ya nini? Watu wenyewe makapuku wa kutupwa.
Kipindi cha ujauzito ilikuwa full vizinga toka ukweni.
Kipindi mtoto anadai kutamani ubuyu usiku mkali mama mkwe anatuma msg baba umeme umeisha.

Wasingekuwa na cha kunilipa zaidi ya kuniroga tu.
Sema kuna umuhimu wa kujua family background kabla ya kufanya matusi. Kuna familia hazijaumbwa na haya kabisaaaa....shukuru Mungu alitembea na mchina, ingekua mbongo mwenzako ungesakiziwa hatari
 
Ndo yale yale...mtoto ana baba wanne 🧐🧐🧐
 
Habari zenu wakuu?
I hope mko poaa wanajukwaa.



MSAADA WAKUU!!
Ndivyo ilivyo

Tuliojifanya nice guys tukabeba majukumu Huwa tunakutana na hii kitu!!

Ukimpa Binti ujauzito ukabeba dhamana atakuja kukuona Boya sana!ndivyo walivyo!

Wanawake wanapenda kuishi shida na sio mafanikio,mafanikio ni sumu kwao na hawawezi kuyaishi kabisa!!

Fuatilia madem wenye mishahara au kipato Cha kueleweka walivyo ndio utajua hujui!

Wanapenda utii unaotokana na mashaka na sio kuhakikishiwa maisha!!

Nineliona hilo!

PIGA CHINI MWAMBIE SIKUOI UTAOLEWA NA MWENYE MAONO NA WEWE TULEE MTOTO AKIKUA NAMCHUKUA ,AKIKUJATALIA WATOTO MWAMBIE WATOTO NI WA MUNGU BASI CHUKUE TUSITISHANE KISA MTOTO MIMJ SIO MGUMBA!!!

UKIWA RESPONSIBE KE WENGI NI WAJINGA SANA MKUU TRUST ME!
 
Pole sana, ni vyema sana ukifanya DNA, pia usioe sababu ya mtoto angalia moyo wako
 
Mashaka yako hayawezi kuwa sahihi km hujachukua vipimo vya DNA na huyo mtoto.!! Mivurugano yenu isiwe sababu ya kumchukia mtoto na kumtelekeza.
 
Habari zenu wakuu?
I hope mko poaa wanajukwaa.

Mwaka 2020 niliandika post hii kuhusu binti mmoja ambaye alikua na ujauzito wangu lakini mimi kama muhusika

MSAADA WAKUU!!
Mlee mwanao huyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…