MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Huyo sio wako ana baba mwingine,X kakuona nice guy
 
Tunasemaga wanaume wabaya ILA sisi wanawake tukiwa na jambo letu, Iblisi bin kichefchef anachukua notes....
 
Kwa kifupi unasumbua mahakama tuu lakini ukweli uko wazi hapo uko unamsumbua mke wa mtu na mtoto wa wenyewe acha usumbufu kwa familia za wenyewe usijekujuta badae
 
Umeona hata kadi ya clinic?
Sasa mwanamke hauishi nae unawezaje kumpa mimba
 
Sema kuna umuhimu wa kujua family background kabla ya kufanya matusi. Kuna familia hazijaumbwa na haya kabisaaaa....shukuru Mungu alitembea na mchina, ingekua mbongo mwenzako ungesakiziwa hatari
Kabisa. Kila siku nashukuru Mungu kwa hilo. Ingekuwa muafrika ningeambiwa kafanana na babu upande wa mwanamke.

Ilikuwa tamaa za ujanani wala sikuwa na dhamira ya kufanya nae maisha ila ndio mimba ya Jet Li ikaja tena.
 
Hapo hauna chako piga kimya tu
 
Ahsante sana...

Kwa kweli hii jeuri nnayo iona sasa inanipa mashaka, nawaza labda huenda kwa sababu mwanzo mm ndo nlikua kauzu sasa anaona nmekua mpole kwahyo na yeye ananona ni muda wake wa kuvimba?
Usimchekee huyo atakupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…