Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Yaani wewe hata usinikumbushe ulivyokuwa unanitesa na vimaswali vyako tu, ushauri wenyewe hutoi ili mradi kunizingua. [emoji17] [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani alikutesa eti anauliza umeachwa na wanaume wangapi yeye na bashite watuambie vyeti vyao wameficha wapi?
 
Mwambie na yeye anywe hiyo juice mseto ili muende sawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani alikutesa eti anauliza umeachwa na wanaume wangapi yeye na bashite watuambie vyeti vyao wameficha wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena ni mtata si kidogo maana nilimfuata mpaka pm kumuomba kama kuna msaada anawezanipa anisaidie lakini wapi? Ndo kwanza anaendeleza maswali yake ya kikauzu!
 
Zitapotea tena..bora unite nije nizi hold..alafu nikupe na matechnics mengine..
Technics ulishindwa kunipa tangu mwanzo,nimepona ndo unipe? Baki nazo tu ndugu yangu.
 
Sijajua,ila nahisi mfumo wangu wa maisha uliniathiri.
Jitahid ujue tatizo lilikuwa wapi maana unaweza endelea kuishi Na tatizo halafu ukafurah kuvuliwa chupi then baada ya muda tatizo likaibuka tena..!
 
Ebu njoo nihakikishe kama kweli limeisha tusijetukasumbua watu tena
 
Nieleweshe lozi ikoje?, msaada wako tafadhari!
 
Duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…