Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Nimesoma comment za watu mpaka nimecheka hasa hasa huyu mdudu anayeitwa lozi amazua tafurani na ndugu yake zabibu kavu na hakuna mtu aliyjibu kwa ufasaha ni madude gani na mitaani yanajulikana kwa jina gani ambalo nirahisi
 
Mitaani zinajulikana hivyo hivyo Lozi /zabibu kavu. Penye nia pana njia,baada ya kushauriwa na FaizaFoxy kutumia hizo lozi na zabibu kavu,kwanza niliingia google ili kuzijua na kujua faida zake mwilini. Nami nashauri kwa yeyote anayehitaji kuzijua vizuri aingie Google!
Bahati mbaya nimeshindwa kutuma picha zake hapa.
 
Hayo madude kumbe yapo kwenye ma supermarket ya mitaani tuu yanataka kufanana na korosho. Bado zabibu kavu ndio kitu kigeni? je ni tetere zake zilizokaushwa? je! ni zabibu zenyewe wimekaushwa au ni majani yake au mizizi yake? na yanapatikana maduka gani?
 
Ni zabibu zilizokaushwa,nazo zinapatikana sokoni na kwenye maduka ya viungo vya pilau / vyakula
 
Kama uko Dar es salaam vitu vyote hivyo isipokuwa maziwa fresh na kokwa la parachichi vinapatikana kariakoo kwenye duka moja hivi lililopo mkabala na soko la kariakoo linauza viungo vya pilau.

Hatahivyo sishauri mama mjamzito au anayenyonyesha kutumia juice hiyo maana inavuruga tumbo na kusababisha kuharisha.
Mh! Kwahiyo kuharisha kwa sana siku zote hizo ulikua huendi kwenye mishe?
 
Sasa hivi nimepona 100% imekuwa ya kutekenya tu km remote, nawashukuru wote maana nilifikia hatua mbaya (hata kamoja kwa wiki kalikuwa ka kulazimisha)
 
Hongera sana mkuu!
Share nasi tafadhali njia ulizotumia kufikia hiyo asilimia mia.
 
Back
Top Bottom