Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

hongera, soon na mimi nitapost mrejesho biashara ya pub yangu iliyopo mkoa wa pwani awali niliomba ushauri humu namna ya kuanza mawazo mengi yalikuwa negative lakini biashara ilishaanza.
 
Mkuu nasibiria ile ofa niliomiss lini
Bgupsana
 
Yaan sijafika lakn kwa mazingira mazuri nayoona hata siitahi kuja na mizigo ntaifurahiayahaoopohapo

Kaziiendelee
 
Sawa,ila bado sijaelewa kajuaje wana jf kuacha 30-50 ni kawaida je tukifuka pale tutatakiwa kujitambulisha😁😁?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Itakuwa baada ya kulewa walianza kujitambulisha kwa id zao
 
Msikose kuja Runway Pub
Siku ya jumamosi kutakuwa na live band.
Siku ya jumapili kama kawaida kutakuwa na karaoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…