username required
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 343
- 1,069
- Thread starter
- #161
Roughly 10M inatosha.Hongera ila niliuliza mtaji wa kuanzisha pub kama hiyo ilikukost tsh. Ngapi? Bado nasubili jibu.
Sisi tulinunua kwa mtu tukafanya modifications na kuizindua upya ,,,,,,alikuwa anaitwa Irene ni mdada maarufu.