Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

kwani wewe ndo Vladmir Putin? sijaelewa mimi hapa
 
Umejishindia coca ya buure ya baridi lkn lazima uinywee hapa hapa

Sina maneno mingi mrembo we ndo unaejua thamani ya ulichonacho usihadaike na walimwengu hawana jema hawa wala usisumbuke kuwaaminisha au kubadili mawazo yao
Vlad anajitahidi sana kujitongoza sijui kwaniniii, simpatii picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejishindia coca ya buure ya baridi lkn lazima uinywee hapa hapa

Sina maneno mingi mrembo we ndo unaejua thamani ya ulichonacho usihadaike na walimwengu hawana jema hawa wala usisumbuke kuwaaminisha au kubadili mawazo yao
Asante Wifi yangu wa faida,nakupenda Jana Leo na kesho.... my kapeace.
 
Aaaaa mtu wa urusi tuache bwana weee,kwani we na african princess hamjamalizana tu?
Aaahhhh sawa , basi sawa mkuu ..soga zenu zijikite katika masuala yenu binafsi nyinyi wenyewe , naamin mnayo mengi eehhh but katika yote hayo Nisingependa kuona Neno lolote liwe baya au zuri kumhusu Vlad putin .

Jikiten katika mambo yenu nyinyi tuu.

Veri simpo iyoo au sio?
 
Basi nahisi JF imekumbumbwa na gonjwa la Janga la Kujihisi!
 
Wanawake bhana

Wanakuja kusifia mboolo huku badala yakusifia chumbani mwao

Hivi mpaka unaamua kujianika humu kisa mkunyenge hahahaha

Kweli siku hizi wanawake wanatongoza na Huyu kama siyo Sr fey sijuic
 
Umejishindia coca ya buure ya baridi lkn lazima uinywee hapa hapa

Sina maneno mingi mrembo we ndo unaejua thamani ya ulichonacho usihadaike na walimwengu hawana jema hawa wala usisumbuke kuwaaminisha au kubadili mawazo yao
Wewe umemshaur vema kabisaa , Wala hasiangaike kuwaaminisha kitu, Waamin wasiamin Shauri zao !! ..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waone kwanza , ningekua mtoto mimi Africa P , angenipenda?? Kwanza nihiv hawajui ..mtoto piniiiiiiiiii yaan piniiiiii kisu kikaliiiiiiiiii mzuriiiiiiiii yaan mzuriiiiiii alafu anashule kichwan na anakazi yakeee

Alafu msela mimi nipo nipo tuu hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…