Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Aaaaa acha tu juzi nlikuwa napanga kabati langu la vitabu nikakuta kadi za aina hiyo nlicheka sana na kuna zile karatasi zilikuwa maalumu za kuandikia barua katikati zina kopa
sisi zikikutwa zinachomwa haraka.
 
Mkiwafata pm hua wanasoma nyuzi zenu kwanza,
kile ulichoandika ndicho kinachokutafsiri ulivyo kwa hiyo muwe makini na maandishi yenu.

Sometimes your past may harm your future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…