Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Sijawahi kufika huko sijui zaidi yanayoandikwa ila nahisi wanatoana huko huko kulingana na mada za huko,

Lakini mtu haiwezekani ukaanzisha uzi mf; wadada wa jf wabaya, mara sijui wadada wa jf maharage ya mbeya, zikiwa nyuzi za kuwaponda wanawake wewe ndio kinara unapoooonda mpaka unasahau kama ulizaliwa na mwanamke halafu hapo unamfata mwanamke PM akishasoma unayochangia jukwaan ndio hayo unahisi atakukubali kweli??

Vaa viatu vyake.
Huwezi amini wapo wanaowakubali. Mfano halisi tunao hapa kwenye huu uzi kama kweli mtoa mada sio muhusika alietajwa.
 
Naam, kama anaongea pumba jukwaan lazima tu hata private awe yule yule na sio private hata maisha yake halisi anavyoishi lazima ndio yawe ya hivyo hivyo, wachache sana wanaoweza kuishi maisha ya aina mbili yaan kwenye mtandao akawa rude lakini kwenye maisha halisi akawa polite.
Wachache sana.
Wapo wachache na mmoja nawaambiaga watu humu ukiona anachoandika na alivyo kawaida unaweza shangaa
 
Sijawahi kufika huko sijui zaidi yanayoandikwa ila nahisi wanatoana huko huko kulingana na mada za huko,

Lakini mtu haiwezekani ukaanzisha uzi mf; wadada wa jf wabaya, mara sijui wadada wa jf maharage ya mbeya, zikiwa nyuzi za kuwaponda wanawake wewe ndio kinara unapoooonda mpaka unasahau kama ulizaliwa na mwanamke halafu hapo unamfata mwanamke PM akishasoma unayochangia jukwaan ndio hayo unahisi atakukubali kweli??

Vaa viatu vyake.
Sawa sawa jamani yaani mimi pia natabia hiyo natafuta post za nyuma,hazieleweki nakuignore kabisa hunioni tena,siku hizi wanajitia kufunga file hata ukifunga utafungua tu si unataka nikujibu pm,na ndo ukweli huo wanaoandika kuponda vya ovyo ndivyo walivyo hata nje ya humu wasijitetee
 
kulishakuwaga na hako kamovemen
Nakugawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka mpaka basi
wacha kabisa!
nilikuwa na mwandiko mzuriiiiiii!
naandika barua naweka kaubeti ka wimbo!
mara nimeweka stiker!
mara nimechora kapaka kanarembua!
ahahahahahhahahaha daaadeck wallahi!
sijui muda wa kusoma nilikuwa Napata saa ngapi
siku ya usafi wa bweni mi space yangu imejaa cards tupuuuu!ahahahahahhaha
LAITI BABANGU ANGEJUA nilichokuwa nafanya na hela yake yaliyokuwa ananitumia kila baada ya wiki mbili!angenichemsha SUPU YA KONGORO!
 
usinikumbushe!
nilikuwa naitwa mara 20 kati ya barua 27 zitakazosomwa siku ya barua!
nikifika bwenini kwanza naoga!
navaa kishumizi
napanda dekani
nakunja nne
halafu naanza kusoma barua!
ahahahahhahahaha ushwahi kuwekesha barua uje uisome jumapili wewe?
hivi yale mahaba yaliendaga wapi oddo?
Mahaba yalikuwa so pure so true afu mnaweza msipigane hata mabusu mpaka mnaachana!
Yani unapokea kadi tumbo la chini unapata butterflies!
Roho inaenda mbiiio
 
kulishakuwaga na hako kamovemen

wacha kabisa!
nilikuwa na mwandiko mzuriiiiiii!
naandika barua naweka kaubeti ka wimbo!
mara nimeweka stiker!
mara nimechora kapaka kanarembua!
ahahahahahhahahaha daaadeck wallahi!
sijui muda wa kusoma nilikuwa Napata saa ngapi
siku ya usafi wa bweni mi space yangu imejaa cards tupuuuu!ahahahahahhaha
LAITI BABANGU ANGEJUA nilichokuwa nafanya na hela yake yaliyokuwa ananitumia kila baada ya wiki mbili!angenichemsha SUPU YA KONGORO!
Hahahahahahaaa
 
mimi huwa naanza kumjudge mtu anavyoandika jukwaani kwahiyo akija pm namuona yule yule tu. Na hata kwa kuangalia tu wanaoandika jukwaani madudu hata wakija pm baadae huwa wanayarudisha ya pm jukwaani.
Haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa sawa jamani yaani mimi pia natabia hiyo natafuta post za nyuma,hazieleweki nakuignore kabisa hunioni tena,siku hizi wanajitia kufunga file hata ukifunga utafungua tu si unataka nikujibu pm,na ndo ukweli huo wanaoandika kuponda vya ovyo ndivyo walivyo hata nje ya humu wasijitetee
Hahaha ignored lazima imuhusu.
 
Back
Top Bottom