The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
Aaaarg jamani mbona mnataka tusiwe huru sasa!mimi huwa naanza kumjudge mtu anavyoandika jukwaani kwahiyo akija pm namuona yule yule tu. Na hata kwa kuangalia tu wanaoandika jukwaani madudu hata wakija pm baadae huwa wanayarudisha ya pm jukwaani.