Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

Du mkuu una nyota ya Miwaya maana kila ukigusa Demu ni +ve na pia inawezekana una mashine kama kidole cha mwisho maana haupati mchubuko.
 
NJOO UKUTANE NA +VE HUKU MIJI YA JOTO KAMA UTAKUJA TAMBA TENA HAPA KUWA BINGWA WA MAPOZITIVU!
 
Hivyo vipimo vya determine ulivyotumia havinaga rongorongo.
Hapo upo fit mkuu, hakuna cha domant wala nini. Hongera.
Unyanyapaa wetu unatusababishia dhana potofu sana.
"Kuchuna ngozi" bila kinga siyo lazima uukwae, inategemeana na kisu unachotumia kuchunia kama kimenolewa sawasawa ama kibutu.
Mambo ya kudhani niliishayaacha baada ya jamaa yangu kufanya vituko nilivyotegemea kuwa vingemuua.
Siku moja alimchukua mwanamke muathirika kwa makusudi kwenda kufanya naye ngono bila kinga!
Nikamuuliza sababu ya kufanya hivyo?
Jibu likawa 'nilitaka kuona za ukimwi zipoje'.
Jibu hilo liliniacha katika simanzi ya mawazo yaliyojaa huruma na unyanyapaa. Lakini cha ajabu, ameishi miaka mingi baada ya kituko hicho, lakini hadi leo anapima ni negative!
Kuchukua tahadhari ni muhimu sana bw mdogo kuliko kufakamia kavukavu kama unavyofanya wewe, ingawa ngozi ni tamu, hasa ikiiva vizuri.
Asikwambie mtu.
 
Asante mkuu,
Ninkweli ishu ya kusema vitaonekana even after 10 20 yrs nimeogopa tena!,

Mwaka jana boo zima ilitapakaa damu za hedh ya +

Nlihaha, ila saiv vpimo ni hvyo. Nachukua hatua .
Goodluck,
 
Asante mkuu,
Ninkweli ishu ya kusema vitaonekana even after 10 20 yrs nimeogopa tena!,

Mwaka jana boo zima ilitapakaa damu za hedh ya +

Nlihaha, ila saiv vpimo ni hvyo. Nachukua hatua .
Goodluck,
Mkuu upo fit. Ungekuwa umeukwaa hiyo mistari ingechora red vyote kwa kuanzia sehemu ya danger. Lakini sijui ukaekae hadi kipindi gani sijui,ni siasa. Kifupi u mzima wa afya leo na kesho, ila acha kula kavu bw mdg ingawa kavu ni starehe tupu.
 
Asante mkuu, hizo sayansi za 10 yrs zinanshangaza au hiv wapo kwe mifupa.... Cjui, ok, naanza kujikinga.
 
Mkuu ukimwi hakuna janja janja tu....Mi napiga kavu huu mwaka wa 5.

Zamani nilikuwa navaa condom nikaona huu ujinga siku hizi nakula kavu....Kikubwa akikisha demu unamuandaa vizuri tu na uwe na mafuta ya akiba pembeni
Well said mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…