Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

Mrejesho wa HIV: kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE

Wakuu wangu hamjambo...

Previously nilileta mada hapa ,kuhusu majibu tata ya kipimo cha HIV ,SD BOOLINE.

NIMEFUATA USHAURI WENU BAADHI KAMA:-

1.kupima kwa kipimo kingine kama determine n.k

2. Kwenda kwa wataalamu kunafuata.
Najua kule presha inakuaga kubwa,

Na hivi wakipima wanaka dump kwe bin, hijui what next,

So kupima mwenyewe unafuatilia step by step (ukiwa umeshajiandaa kisaikolojia lakini.

KIPIMO CHA SASA NIMESOMA NA KUFUATA HATUA ZOTE.

1c336af5844882dc19bb8e4b03dc15b6.jpg


ec278d23329ea9983a5563dde0411a13.jpg


Kwa sasa natulia na sitaki tena kuji expose kijinga jinga.

Nimelala na PO+ tofauti tofauti kwa vipindi tofauti tofauti vya miaka 6, mara ya mwisho ni 9/9/2017,

Nilisex na Mchepuko wangu ambao ni Positive kwa kumpima mwenyewe mara mbili, nilishasex nae pia miezi ya 7/7/2016 jambo lililonikimbiza BUGANDO KUTAFUTA PCR/PRC nilipotibua akiwa hedhi bahati mbaya.

Pia mapema September 2017 (kama nilivyoeleza kwenye thread iliyopita, nilisex na mwanamke ambae baadae niliambiwa nimuathirika kwa miaka5 sasa.

Mwaka 2011 nilijiexpozi na ve+ huko jirani na Tanga.

2013 nilijiexpose na ve+ huko Hai Bomang'ombe.

2014 na Huko Same K njaro na Nyanda za Juu(Mufindi)

2015 Singida na Dar.

2016 Tabora na Shinyanga.

2017 TABORA NA MWANZA.

Ninahaja ya kupima.
Sijawahi kutumia condom toka kukja sex.
NABADILIKA.

STRESS SIO NZURI HATA KIDOGO.

NATARAJIA KUPIMA TENA FEB/14/2018.
Sijajua labda vipo domant.

GOD FORBID.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] indeed God forbid mkuu. But sio kwa risk hizo aisee..! What were you thinking when you were exposing yourself to those risks?
 
Wewe nenda hospital ukapime acha kujipa matumaini na ukipatikana unao anza dozi mara moja kama CD4 zipo chini. Nimefwatilia thread zako ni kama vile unajipa moyo wewe ni mzima hutaki kuukubali ukweli. Nakushauri kijana nenda hospital kaonane na proffessional doctors wakupime ujue vizuri afya yako. Majibu na ushauri watakayokupa uyafanyie kazi. Hakuna mtu atakayeweza kukwepa hatma ya matendo yake
 
Hakuna aliembatana na shetani halafu akaachwa salama hata siku moja...
 
Pole mkuu njia ni kupima na kuwa makini ki takwimu risk ya kuambukizwa kwenye njia ya kawaida ni 1 kwa 1250 kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa hujapata
 
Huu uzi wako umeuandika kwa stress sana njia pekee yakupunguza stress nenda kwa wataalamu kachek afya mkuu huku kujipima huna utaalamu na hcho kpimo
 
Siendelei sasa.
Mkuu KASPERSKY wangejua kuna mtu kama wewe nahisi ungekuwa maarufu sahv[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Unapotoka kufanya ngono zembe alafu kila upitapo ni matangazo ama habari za Gridi ya taifa.huwa inaleta ukakasi.eniwei we kama ushapima mara moja tuliza mshono,kupima mara ishirini ishirini ilhali majibu yalikuwa negative inamaanisha unahamu na jibu tafauti.
 
Ukimwi si kufa, ata ivyo wengne skujua b4
Ni kweli Ukimwi si kufa kwani wazungu mafua tu tena ya kuku yanawaua, lakini huku kwetu kuku hata awe na ugonjwa gani watu wanamla.[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23][emoji23]. Dah! Kwa hapo ulipofikia, achana na kupiga peku.
 
Kwa wanaume ni mara chache sana kupata ukimwi..muchubuko ndo huleta maambukizi kwa wanaume...pia maximum duration ya virusi huwa ni miaka kumi...unawza kujidhania mzima kumbe ushakufa ktambo...hata baada ya miaka mitano virus ulivyopata leo vinawza kuonekana.....bado UKIMWI ni pasua kichwa..weng sana wanao huu ugonjwa....vifo vingi vya kusababishwa na ugonjwa ni kwa sababu ya hii kitu...hata takwimu zinatisha kwa kweli....bas tu huwa zinafichwa
Acha zako bwana kupata ukimwi sio kufa... Mbona huna utu unakua kama mtoto wa chekechea... Angalia wanao kufa kila siku si kwamba wana ukimwi.. Vp kuhusu cancer, kisukari, presha,magonjwa ya ini, kibofu,figo, hao utasemaje kama sio kifo.... Ugonjwa ni ugonjwa tuu haijarishi.... Na kupata ukimwi sio kifo napingana na wewe
 
NJOO UKUTANE NA +VE HUKU MIJI YA JOTO KAMA UTAKUJA TAMBA TENA HAPA KUWA BINGWA WA MAPOZITIVU!
Kwan miji ya joto ndio ina nn sanaaa... Kumbuka njombe huko makete ndiko kulikua kunaongoza kwa ngoma na ndiko kwenye baridi kali... Sijajua umelenga nn mkuu hapa
 
Acha zako bwana kupata ukimwi sio kufa... Mbona huna utu unakua kama mtoto wa chekechea... Angalia wanao kufa kila siku si kwamba wana ukimwi.. Vp kuhusu cancer, kisukari, presha,magonjwa ya ini, kibofu,figo, hao utasemaje kama sio kifo.... Ugonjwa ni ugonjwa tuu haijarishi.... Na kupata ukimwi sio kifo napingana na wewe
Hujaishi na wagonjwa wa ukimwi ndugu ukaona jinsi wanavyoteseka kisaikolojia na wengi kwa sasa hufa gafla na kuacha familia matatani.... Hizo ARV ndio zimeleta shida kubwa wengi huonekana ni wazima kumbe anakufa polepole
 
Hujaishi na wagonjwa wa ukimwi ndugu ukaona jinsi wanavyoteseka kisaikolojia na wengi kwa sasa hufa gafla na kuacha familia matatani.... Hizo ARV ndio zimeleta shida kubwa wengi huonekana ni wazima kumbe anakufa polepole
Vp kuhusu cancer mkuuu.. Vp kuhusu kisukari, vp kuhusu figo, vp kuhusu magonjwa ya ini yote hayo hayana tiba.. In short tusiegemee tuu kwenye Ukimwi mi naishi na mtu mwenye virusi vya ukimwi ila siwezi mnyanyapaa kwamba basi ndio kifo... Hapana bado ana muda WA kutetea maisha yake... Ale vizuri, matunda, mboga mboga mambo yatakaa sawa kabisa..
 
Back
Top Bottom