kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Kuhusu kututapeli huyu hajakaa kitapeli kwasababu tangu mwanzoni tunanunua vifaa vya tiba anasema ndugu yetu akishapona tutampelekea sadaka lakini hajawahi kutupangia bei kasema anatusaidiaVipi kama hiyo unaita hirizi akawa mganga ndo kafanya yake ionekane hapo ili awatapeli vizuri? 🤒
Basi ikawe heri zaidi, kaka azidi ku recover zaidi 😊Kuhusu kututapeli huyu hajakaa kitapeli kwasababu tangu mwanzoni tunanunua vifaa vya tiba anasema ndugu yetu akishapona tutampelekea sadaka lakini hajawahi kutupangia bei kasema anatusaidia
Me pia nimewaza kama wewe...🤔Vipi kama hiyo unaita hirizi akawa mganga ndo kafanya yake ionekane hapo ili awatapeli vizuri? 🤒
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Acha utani mkuuNaomba namba yake PM kama hautajali .
Samahani lakini ,huu uchaguzi haina namna lazima kuna watu niwatoe hapa kijijini nione kama kiti kitakalika
Hana hilo tatizo mkuuNenda nae kwa madaktari bingwa wa afya ya akili Muhimbili. Wakamtazame.
Achana na waganga wa kienyeji
WHAAAAT?Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Serious naomba namba ya huyo mganga ,dadaAcha utani mkuu
Huyu hajakaa kipesa pesa kabisa mkuu yaani wewe unanunua vifaa anakufanyia kazi yako ukishapona utampelekea tu sadaka utakayojisikia, siyo kama hao wanaotaja kiasiHamna mganga hapo, mazingaombwe hayo boss awapige hela vzuri
Umbea ss
Pole sana Binti 😢Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Hao wataalamu siyo wa kuwaamini sana, huwa wamekaa kiujanja ujanja sana.Me pia nimewaza kama wewe...🤔