Ombeni kwa imani zenu makanisani, msikitini, ndugu yako huyo ni pombe tu zinamchanganya akiwaza hana kitu anachanganyikiwa, kuhusu wewe naimani hauna adui yeyote wala anayetaka kumuua ndugu yako.Kwahiyo nifanyaje sasa mkuu?
Nawachunguzaje sasa mkuu?Wahenga walisema, ''Mchawi ndugu, wachunguze wa kwako''
Asante mkuu tutafanya hivyoOmbeni kwa imani zenu makanisani, msikitini, ndugu yako huyo ni pombe tu zinamchanganya akiwaza hana kitu anachanganyikiwa, kuhusu wewe naimani hauna adui yeyote wala anayetaka kumuua ndugu yako.
Hapo mganga keshaona mmemuamini ametafuta pa kuwakamatia mtoe pesa mmbaki weupe
Ilikuwaje mkuu tujuze hata kwa uchache na je ulijikwamuaje?
Kama mambo ndivyo yalivyo hivi sitaenda tena wala kutumia dawa zakeAhaa kumbe unatambua,waganga washenzi sana wanataka watu wawe wqendelee kuwa wategemezi wao,mganga anaweza kukutupia ruhani na ruhani hilohilo akajifanya anataka kulitoa
Ndugu tu hao hao yani pona sanaaaa nikawa kama nimepararyze natembea kwa kushikwa huku na huku kama mtotoIlikuwaje mkuu tujuze hata kwa uchache na je ulijikwamuaje?
Dah! Hebu elezea kwa ufupi mkuu..!
Huyo mganga atawapiga hela na kuwagombanisha ukooo na ndugu zenu mpaka mchoke wenyewe.
Utasikia shangazi yake kamroga, ama mama mkubwa ndie kamroga, ama ndugu fulani kamroga
Note : huyo mganga hatawaomba hela cash atawapiga hela kupitia vifaa na dawa, atawaelekeza maduka ya kununua dawa ambayo kuna matapeli wenzake.
Pole sana mkuu, ulipitia mateso sanaNdugu tu hao hao yani pona sanaaaa nikawa kama nimepararyze natembea kwa kushikwa huku na huku kama mtoto
Asante sana mkuu
Una maana gani mkuu?Shetani hawezi kumtoa shetani.
Njoo ujifiche kwangu wasikutoe sadaka last born wetukama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Mkuu unajua labda tunatofautiana Imani.Una maana gani mkuu?
Wajinga ndio waliwao!Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.
kivipi mkuuWajinga ndio waliwao!
Kwamba huyu ni tapeli?That's business don't be blind .
Kila ninapoenda wananiona hata niende wapiNjoo ujifiche kwangu wasikutoe sadaka last born wetu
View attachment 3336200