Mganga anacheza na mgonjwa kwa saikolojia.Mkuu lakini alivyoanza kumtibia sasa hivi ameanza kurudi kwenye hali yake ya zamani
Yaani watu wakija nyumbani anaanza kuwaomba msamaha au akiona mna heka heka anawauliza kwani kuna nini mbona sielewi elewi, kile kitendo cha kufungiwa ndani naona kimemuathiri na vile kufukizwa hizo dawa ndiyo kabisaSi unasema bado anaona watu? Anamtibia na nini? Waganga muda mwingine wanawapa dawa za hospital.
Mi nishauguza mtu wa style hiyo.
Yap nakubaliana na wewe asilimia 100%, ndugu yangu pia wa damu alipata shida kama hii alikua anapiga kila mtu nyumbani, kuvunja vitu, kutaka kufanya majaribio kadhaa ya kuchoma nyumba , lakini tiba za jadi hazikusaidia ila kwakua nilikua na elimu tayri ya magonjwa haya tulimpeleka Mirembe akakaa pale kama miezi 2, akarejea katika hali yake sasaivi huwa anaendelea na clinic ya dawa lakini maisha yanaendelea vizuri, kaoa na familiaAsante mkuu kwa hii elimu yako, lakini huyu kaka yangu alifika pabaya hadi kuwadhuru wazazi na kufanya fujo hadi tukahisi hili siyo jambo la kawaida
Dawa alizompa ni za kuoga na kufukizwa tu hakuna ya kunywa hata mojaMganga anacheza na mgonjwa kwa saikolojia.
Mgonjwa anajiona amepona sababu ya Placebo effects.
Mganga ame mask symptoms.. kampa steroids kwa ujanja.. mfano anaweza kumpa dawa ya maji maji, kumbe hayo maji kayeyusha steroids humo ndani... Mgonjwa anajiona ana hali nzuri kumbe ujanja ujanja tu.
😂😂 apo anasagiwa diazepam anapewa anakunywa anatuliaSi unasema bado anaona watu? Anamtibia na nini? Waganga muda mwingine wanawapa dawa za hospital.
Mi nishauguza mtu wa style hiyo.
Tena ameoneshwa hirizi kwamba ndiko kulikuwa na uchawi anaweza kujihisi amepona! Kumbe mganga kawaingiza kwenye mfumo wa utapeli!Mganga anacheza na mgonjwa kwa saikolojia.
Mgonjwa anajiona amepona sababu ya Placebo effects.
Mganga ame mask symptoms.. kampa steroids kwa ujanja.. mfano anaweza kumpa dawa ya maji maji, kumbe hayo maji kayeyusha steroids humo ndani... Mgonjwa anajiona ana hali nzuri kumbe ujanja ujanja tu.
Shida ndugu wote wameshakuwa na imani na huyo mtaalamu huwaambii kitu na hivyo anavyosema anaemroga ni mtu katika familia na majirani hapo ndo kawamaliza kabisa huwezi kuwaambia kuhusu huko hospitali hawawezi kukuelewa kabisa kwasasa na hivi wanamuona ameshaanza kujielewaYap nakubaliana na wewe asilimia 100%, ndugu yangu pia wa damu alipata shida kama hii alikua anapiga kila mtu nyumbani, kuvunja vitu, kutaka kufanya majaribio kadhaa ya kuchoma nyumba , lakini tiba za jadi hazikusaidia ila kwakua nilikua na elimu tayri ya magonjwa haya tulimpeleka Mirembe akakaa pale kama miezi 2, akarejea katika hali yake sasaivi huwa anaendelea na clinic ya dawa lakini maisha yanaendelea vizuri, kaoa na familia
Nenda nao taratibu kuwaelezea, mganga apo anacheza na power of influence, ukiwa unawaambia taratibu wakikaa wakatulia wenyewe wakaanza kutafakari wanajua uko sahihi, elimu!! elimuu!! elimu!! muhimuShida ndugu wote wameshakuwa na imani na huyo mtaalamu huwaambii kitu na hivyo anavyosema anaemroga ni mtu katika familia na majirani hapo ndo kawamaliza kabisa huwezi kuwaambia kuhusu huko hospitali hawawezi kukuelewa kabisa kwasasa na hivi wanamuona ameshaanza kujielewa
Mimi ninachojiuliza kwanza kwanini asiwataje hao watu, tuwajue kabisa ila amekazania eti mtu wa familia na majirani mh! Hapo inatia wasiwasi sanaNenda nao taratibu kuwaelezea, mganga apo anacheza na power of influence, ukiwa unawaambia taratibu wakikaa wakatulia wenyewe wakaanza kutafakari wanajua uko sahihi, elimu!! elimuu!! elimu!! muhimu
atagombanisha familia bure, Matatizo ya Afya ya akili yamekua ni kichaka cha waganga kupiga helaa!! epuka matapeli, kuna siku atakuja anajifanya kuchimba chimba hapo kwenu anatoa mara pembe au hirizi ndani, hizi michezo kuzicheza ata wewe nikupa maelekezo una act tu kama umepandisha majini, unapiga kelele unaenda sebuleni wakiwa wanekaa unawaamhia kwenye kochi hili kuna hirizi, unapiga tambo za hapa na pale unaitoa wanaona afu unasema wachinje kuku unakula safi😅,Mimi ninachojiuliza kwanza kwanini asiwataje hao watu, tuwajue kabisa ila amekazania eti mtu wa familia na majirani mh! Hapo inatia wasiwasi sana
Hiyo hirizi imeshachimbwa ikatolewa siku ya kwanza kabisa, na nikikueleza hiiyo situation ilivyo unaweza ukasema kabisa kuwa hiyo ni michezoatagombanisha familia bure, Matatizo ya Afya ya akili yamekua ni kichaka cha waganga kupiga helaa!! epuka matapeli, kuna siku atakuja anajifanya kuchimba chimba hapo kwenu anatoa mara pembe au hirizi ndani, hizi michezo kuzicheza ata wewe nikupa maelekezo una act tu kama umepandisha majini, unapiga kelele unaenda sebuleni wakiwa wanekaa unawaamhia kwenye kochi hili kuna hirizi, unapiga tambo za hapa na pale unaitoa wanaona afu unasema wachinje kuku unakula safi😅,
kama kashapiga hili tambo la kuchimba hirizi basi lazima achukue pointi 3 muhimu za ugenini ndiyo maana ndugu wakamuelewa sana kuwatoa kwenye hii situation ni ngumu😂😂, coz hakuna kitu kigumu kama kumshauri mtu anayeenda kutapeliwa🫵Hiyo hirizi imeshachimbwa ikatolewa siku ya kwanza kabisa, na nikikueleza hiiyo situation ilivyo unaweza ukasema kabisa kuwa hiyo ni michezo
Na vile huyu hajatanguliza pesa ndiyo kawachanganya kabisa eti ndiyo wanasema hapa kwenyewe anatusaidia angekuwa mwingine angeshataja pesakama kashapiga hili tambo la kuchimba hirizi basi lazima achukue pointi 3 muhimu za ugenini ndiyo maana ndugu wakamuelewa sana kuwatoa kwenye hii situation ni ngumu😂😂, coz hakuna kitu kigumu kama kumshauri mtu anayeenda kutapeliwa🫵
apo mganga anacheza karata zake tu vizuri, mambo mazuri si ayataki haraka, anasoma mchezo vizuri wa uchumi wenu anasuka dau lake jikoni, kiasi kwamba atawapiga bila kujua mmepigwa, silaha nzito huandaliwa wakati wa amani na siyo vita !!Na vile huyu hajatanguliza pesa ndiyo kawachanganya kabisa eti ndiyo wanasema hapa kwenyewe anatusaidia angekuwa mwingine angeshataja pesa
Ni ngumu sana kumshauri mtu anayetapeliwa. Mganga kashawatia kingi.Shida ndugu wote wameshakuwa na imani na huyo mtaalamu huwaambii kitu na hivyo anavyosema anaemroga ni mtu katika familia na majirani hapo ndo kawamaliza kabisa huwezi kuwaambia kuhusu huko hospitali hawawezi kukuelewa kabisa kwasasa na hivi wanamuona ameshaanza kujielewa
Mimi hanipati kabisa kwanza nimepanga kuwakaushia kabisa sitaki kushiriki tena hayo maswalaapo mganga anacheza karata zake tu vizuri, mambo mazuri si ayataki haraka, anasoma mchezo vizuri wa uchumi wenu anasuka dau lake jikoni, kiasi kwamba atawapiga bila kujua mmepigwa, silaha nzito huandaliwa wakati wa amani na siyo vita !!
Mimi ngoja niwaache wapambane wenyewe sitaki kuhusika tenaNi ngumu sana kumshauri mtu anayetapeliwa. Mganga kashawatia kingi.
Nyie mnatapeliwa na mgonjwa atazidi kuumwa tu.
Aliponaje aisee. Kuna dogo kadata hukuWaganga wagombanishi,waganga waongo,
Jinsi tuliyo yapitia kama family na hao waganga walivyotumaliza😀, mdogo wangu alikuwa nusu chizi,nusu mwendawazimu,
........................................
Ni mtumiaji wa mihadarati?Aliponaje aisee. Kuna dogo kadata huku
Hapana he is 20years form three. Alianzaga kwa kuumwa kichwa tu lastbyear mwishowe. Ila kwa sasa kadata kabisaNi mtumiaji wa mihadarati?