kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #61
Hiyo dawa ni ya kuoga kwa siku7 kuhusu hiyo kinga sasa sijajua kama atatuchanja au itakuwaje hajatuambia, ilividi hiyo dawa ianzwe leo lakini mimi ratiba zimenibana za kaziniHiyo dawa aliwaambia inakuwaje kuwaje, ya kunywa, kupaka au mnafanyaje?
Na kinga ambayo mtapewa wewe na kaka yako, watawafanyiaje?
Mazito unayataka hivyo utaweza kuyabeba?Babes poleni, vipi mtaalamu alisema mambo mazito gani?
Huyu hajakaa kipesa pesa kabisa mkuu yaani wewe unanunua vifaa anakufanyia kazi yako ukishapona utampelekea tu sadaka utakayojisikia, siyo kama hao wanaotaja kiasi
Duh! Mbona balaa sasa kama atakuwa anatutapeliAcha kujidanganya mkuu ,jamaa qana techniques nyingi kukulegeza
Mazito ya mambo ya waswahili siyawezi, yanipitie mbali kwa kweli!Mazito unayataka hivyo utaweza kuyabeba?
Hakuna kitu kama hicho kuwa na amani. Anatengeneza mazingira ya kuendelea kuchuma. Inaweza wachukua hata miaka minne mpaka kuujua ukweli. Waganga wako very smart kwenye move zao.Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Hizi imani hizi ukiingia kichwa kichwa unasajiriwa chama cha wachawi ukikosea masharti unaua ukoo mzima, so muwe makini waganga ni wachawi waliochangamkaHiyo dawa ni ya kuoga kwa siku7 kuhusu hiyo kinga sasa sijajua kama atatuchanja au itakuwaje hajatuambia, ilividi hiyo dawa ianzwe leo lakini mimi ratiba zimenibana za kazini
Kuweni makini hili ni tangazo wanajua kabisa kuna watu wataomba number ya mganga na ndo kipigo cha utapeliGuys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila yote kwa yote ni jambo la kumshukuru Mungu kwani alivyo mwanzo na sasa hivi ni tofauti kabisa.
Sasa wakuu huyo mtaalamu kuna mambo alikuwa anayasema ni mazito sasa sijui kama ni kweli au lah! Hadi nabaki nachanganyikiwa.
Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.
Omba asylum nchini Marekani. Waambie kuna watu wanataka kukutoa kafara kama ukibaki Tanzania.🤣🤣Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Unaleta masihara mkuuOmba assylum nchini Marekani. Waambie kuna watu wanataka kukutoa kafara kama ukibaki Tanzania.🤣🤣
The Mongolian Savage umbwaaa
Sina hiyo nia na wala sitoi namba ya mtaalamu, na pia sina namba yake kabisaKuweni makini hili ni tangazo wanajua kabisa kuna watu wataomba number ya mganga na ndo kipigo cha utapeli
Duh! Mbona unanitisha mkuu ntakuwa hata siendi kufanya hiyo dawaHizi imani hizi ukiingia kichwa kichwa unasajiriwa chama cha wachawi ukikosea masharti unaua ukoo mzima, so muwe makini waganga ni wachawi waliochangamka
Nimekwambia mkiingia kichwa kichwa mtapukutishwa ukoo mzima kuweni makini kuweni makini tena, mganga anawaset muingie kwenye mfumo anachosimulia ni story za chama cha wachawi akiwapa masharti mkafanya ndivyo sivyo mtajuta baadae kuweni makini kuna mtego atawapa mkinasa mmeisha na anajua hamuwezi kua makini kiasi hicho kwa hio lazima mnaseAsante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Hata Mm naona pia.Hii imekaa kama mind game ila ngoja tuone mwisho wake.
Hapana nakupa ushauri wa bure. Wahi kabla hujawahiwa.Unaleta masihara mkuu
Asante mkuu, kwahiyo unanishauri hata hiyo dawa nisiende kuoga?Hakuna kitu kama hicho kuwa na amani. Anatengeneza mazingira ya kuendelea kuchuma. Inaweza wachukua hata miaka minne mpaka kuujua ukweli. Waganga wako very smart kwenye move zao.
Usijaribu kuingia huko. Waganga wana uwezo wa kupandikiza tatizo ili uendelee kuwa mtumwa wao. Nina wanafamilia ambao walipitia hali hizo nilipowaambia waachane nao waligoma nikaamua kukaa pembeni.Kuna dawa nimeambiwa nitumie for 7days atanipa after hapo ndiyo tutapewa kinga kwa pamoja na kingine alisema mimi kuna Chale nimechanjwa na hao wanachama kwenye paji la uso hapa sasa kila ninapoenda wanakuwa wananiona hao watu wabaya
Sikutishi nakwambia uhalisia huo ni mtego, kaka yenu mnamfahamu nje ndani au mnamfahamu juu juu tu?Duh! Mbona unanitisha mkuu ntakuwa hata siendi kufanya hiyo dawa
Kazi zimekubana hadi unashindwa kuoga? Au mganga ndo anakuogesha mwenyewe? Mganga asije akakupitia kimasikharaHiyo dawa ni ya kuoga kwa siku7 kuhusu hiyo kinga sasa sijajua kama atatuchanja au itakuwaje hajatuambia, ilividi hiyo dawa ianzwe leo lakini mimi ratiba zimenibana za kazini
Hiyo ni chain yao. Wameshapata ofisi mpya ya kupiga pesa.Hivyo vifaa ambavyo huwa anaagiza huwa analetewa tu sisi tunanunua wenyewe lakini