Spirit
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 457
- 380
Habari zenu wapendwa wa MMU,
Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata nawaambia watawapata wakati utakapofika.
Mimi nashukuru Mungu nimeshampata wa kwangu hapa hapa MMU maisha yanaendelea sasa ahsanteni sana wanajukwaa tuendelee kushirikiana tupeane moyo na kushauriana zaidi na zaidi.
Ahsanteni