Mrejesho wa kheri, nimempata wangu

Mrejesho wa kheri, nimempata wangu

yaan inakuwaje mwanamke,wanaume hawakuon huko mtaani mpaka ukaamua kuja kuhangaika kutangaza soko mpaka jf(ambao ndo hao hao watu wa mtaani) ili upate mtu?
Hebu lete uzi wa mimi kutafuta mume siku nyingine usiparamie kama vile umetoka toi
 
Utakuja tena tu...mana hamchelewagi nyie......................
 
Habari zenu wapendwa wa MMU,

Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata nawaambia watawapata wakati utakapofika.

Mimi nashukuru Mungu nimeshampata wa kwangu hapa hapa MMU maisha yanaendelea sasa ahsanteni sana wanajukwaa tuendelee kushirikiana tupeane moyo na kushauriana zaidi na zaidi.

Ahsanteni
[emoji12] [emoji12] Ok Muonyeshe maufundi ili asije akasepa.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa wa MMU,

Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata nawaambia watawapata wakati utakapofika.

Mimi nashukuru Mungu nimeshampata wa kwangu hapa hapa MMU maisha yanaendelea sasa ahsanteni sana wanajukwaa tuendelee kushirikiana tupeane moyo na kushauriana zaidi na zaidi.

Ahsanteni

Umeshampa mzigo?
 
Hivi umewahi kumwona eeeh we haya.....kuna mtu humu alitangaza anatafta mke ......ila siku niliyomwona nliishiwa pozi kabisaaaaaa na ndoa yenyewe siitaki .....but kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa wa MMU,

Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata nawaambia watawapata wakati utakapofika.

Mimi nashukuru Mungu nimeshampata wa kwangu hapa hapa MMU maisha yanaendelea sasa ahsanteni sana wanajukwaa tuendelee kushirikiana tupeane moyo na kushauriana zaidi na zaidi.

Ahsanteni
hongereni sana..Mwenyezi Mungu awaongoze
 
Back
Top Bottom