Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Achana na biashara za kuua watu jikite kwenye biashara za chakula uu
Umtakuja kutuuwa
USSR
Hapana hii siyo gongo mkuuKanyweso sio.....
Hio ni gongo ipo parked
Hata wauza chips ni wauaji.Achana na biashara za kuua watu jikite kwenye biashara za chakula utatoboa
Makubaliano tu mkuu kuanza na kiasi gani hakuna kukomoana. Tunaanza na tulichonachoUngependa mshirika awe na kiasi gani cha pesa cha kuwekeza
Leseni bado mkuuWazo zuri sana, vipi leseni ya uzalishaji ipo?
Leseni bado mkuu
Hapo ndio pa muhimu, maana uki shikwa utapewa kesi nzito.Leseni bado mkuu
Safi sana Kwa Taifa kama la Tz,hii ni Moja ya biashara murua kabisa,ukifanikiwa hiyo Ongeza na kampuni la betting pembeni yake wateja Tz ni wakumwaga vijana wa Tz ndio starehe zao.Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital.
Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea.
Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable zipo.
Anayependa kuwekeza kuchukua mawazo haya kuwa biashara karibu tufanye kazi siyo lazima tuanze na kiwanda kikubwa tunaweza kuanza hata kiwanda bubu na biashara ikaenda.asante hapa ndo nilipofikia.
Mwenye mawazo karibusana
View attachment 3487061