Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

Una wazo zuri sana bro keep up...ila focus sana kwenye jinsi gani unaweza ukazalisha kwa gharama ndogo kuliko wapinzani na jinsi gani unaweza kuja kitofauti
 
Inaitajika bei gan ili tujue kama ipo tuweke pesa maana watu wapo na stress mbya wanaitaj hii kitu nomaaa
 
Mkuu uneshafatilia leseni ?
Ni
Kama tzs ngapi gharama?

Pia Capital ya kuanzisha kiwanda bubu ni kama tzs ngapi mkuu?
 

Nimevutiwa sana na unachokifanya, upo mkoa upi?
 
Inaitajika bei gan ili tujue kama ipo tuweke pesa maana watu wapo na stress mbya wanaitaj hii kitu nomaaa
Mkuu mm nilikuwa nahitaji MTU ambaye yuko siliaz then tukae chini tuanze na kiasi gani .cha mhim ni vibal pamoja na material
 
Chs muhimu nenda TFDA au TMDA watest ubora wa bidhaa ujue kam si hatari kwa afya na matumizi ya binadamu. Kisha leta mchanganuo wa fedha. Isije kua spirit sio kinywaji
 
Chs muhimu nenda TFDA au TMDA watest ubora wa bidhaa ujue kam si hatari kwa afya na matumizi ya binadamu. Kisha leta mchanganuo wa fedha. Isije kua spirit sio kinywaji
Sasa ni TMDA siyo TFDA, Food ilipelekwa TBS
 
Your b

Honestly, kwa maelezo yako hujajipanya. Inaonyesha hujui kilicho mbele yako ambacho unatakiwa kufanya. It is like unaingia kichwa kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…