Mrejesho wa kumpata

Mrejesho wa kumpata

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Kwenye mdema wangu nmepata samaki mmoja na hata siufungui huu mdema nauvunja kwa maana sitegi tena, maana mda mwingi wanaingia kaa tu but later thanks Lord God kwa kumpata huyu mmoja, naamini leo ugali mwingi sana ntapika
 
Mboga ndogo, beba yako isije tukaonana wabaya
 
Back
Top Bottom