Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Kwenye mdema wangu nmepata samaki mmoja na hata siufungui huu mdema nauvunja kwa maana sitegi tena, maana mda mwingi wanaingia kaa tu but later thanks Lord God kwa kumpata huyu mmoja, naamini leo ugali mwingi sana ntapika