Sio kivileee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una vurugu sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wee muongo sana.Kama Una Ukimwi HIV + achana na mambo ya ngono kabisa kuwa mtazamaji.
Maana kwa uzoefu wangu ukimwi haupendi kabisa sex .
We sasa hivi starehe zako ziwe ni
Kula
Mazoezi
Na kupumzika
Ahaa ni uzoefu wangu Mkuu ukiamua kuendekeza ngono na ukimwi utaona matokeo yakeWee muongo sana.
Hii naona ina work kwa walio zaliwa nao, thou wakifika pindi ya balehe wakianza tyuuh hizi mambo, wanapotea sana.Ahaa ni uzoefu wangu Mkuu ukiamua kuendekeza ngono na ukimwi utaona matokeo yake
Okay waliozaliwa nao umewaona ?Hii naona ina work kwa walio zaliwa nao, thou wakifika pindi ya balehe wakianza tyuuh hizi mambo, wanapotea sana.
Ila hawa wanaopatia ukubwani mbna naona wanafanya na hawapotei hivyo.
Nimeshuhudia km 4 hivi, me 1, na ke 3, wamepotea ile 15 had 17yrs, due to hiyo sex, thou walikua wamezaliwa nao.Okay waliozaliwa nao umewaona ?
Sasa ndio umroge mtu kisa mapenzi?Sio kivileee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndio umroge mtu kisa mapenzi?
huo ni upotevu wa muda na rasilimali, kwanini usi roge deal zijipe !Sasa je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deal sio shida zangu sasa jamani, [emoji23][emoji23][emoji23]huo ni upotevu wa muda na rasilimali, kwanini usi roge deal zijipe !
Ila kuroga ndio mzuka ehh!Deal sio shida zangu sasa jamani, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kuroga ndio mzuka ehh!