Mrejesho wa mliofanikiwa katika biashara ya network marketing

Wanasema nabii japo hakubaliki kwao,lakini huanza na mahubiri mlangoni kwao kwanza[emoji16][emoji16][emoji16],kama Yesu na israel.

Toka lini mtu akakukumbuka wewe kwenye fulsa,kaacha nduguze hukooo.
Wazee wa Good morning na jua kali la Dar ukute ni saa saba hiyo, mwisho tuseme tu kuwa hao wakikuita kuwa kuna fursa ujue wewe ndo fursa.
 
Sasa hawa Kina Enos,Blandina na Veronica mbona wanasema ni matajiri wanamiliki maghorofa,RR na Jeep 0 Km? Wengine wanakwama wapi?





 
Sasa hawa Kina Enos,Blandina na Veronica mbona wanasema ni matajiri wanamiliki maghorofa,RR na Jeep 0 Km? Wengine wanakwama wapi?

View attachment 1487334

View attachment 1487335

View attachment 1487336
Mkuu ukiwa na hela hatuhitaji utwambie,zenyewe huwa zinajipambanua zina kiherehere wala hazihitaji kusemewa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ninachojua wenye magari sio wachoyo ukiomba upigie picha,ukienda yard na plate number ya jina lako unachagua gari gani unataka uweke upigie picha kisha mnapatana,sidhani kama itazidi elfu 30[emoji16][emoji16][emoji16].

Mimi nimeenda mlimani city nyuma ya uchumi tower,nikakuta mapicha picha ya hivii,wengine wamepiga wana raum,vits nk,nikajiuliza kama mafanikio wanayozungumza ni kumiliki harrier old model,bas kazi yangu ni ya maana sana kuliko upuuzi wanaonieleza hapa.
 
Noma
 
Ila Blandina ni gari lake.
Mara kadhaa amepita nalo mtaa ninaoishi.

Sijui kama networking market ndo imemlipa au ila ni gari lake ndo analotembelea ziku zote.
 
Ila Blandina ni gari lake.
Mara kadhaa amepita nalo mtaa ninaoishi.

Sijui kama networking market ndo imemlipa au ila ni gari lake ndo analotembelea ziku zote.
Kama ni la kwake binafsi sawa,haiwezi kuwa hiyo biashara yao ya kuingiza watu.
 
Kama ni la kwake binafsi sawa,haiwezi kuwa hiyo biashara yao ya kuingiza watu.
Wao wanasema ni kupitia hiyo hiyo biashara maana wengine wanaingiza hadi milioni 60 kwa mwezi kwa mujibu wao!!
 
Wao wanasema ni kupitia hiyo hiyo biashara maana wengine wanaingiza hadi milioni 60 kwa mwezi kwa mujibu wao!!
Blaza mimi nawewe mbali na kwamba wote ni watz lakini hatujuani zaidi ya hapa jf,itakuingia akilini siku moja nije nikwambie kuna fursa ya kupiga mihela kwako,nikiwa nimewaaacha ndugu zangu,jamaa zangu mtaani,wafanyakazi wenzangu,na hata watu wasiojiweza [emoji16][emoji16][emoji16] huko mitaani!!!!!!.
Ni huruma au ni kweli nayajali sana maisha yako wewe kuliko niliowataja hapo juu!!!!

Sisi wengine tukaomba tukopeshwe msingi,dhamana tunaweka majina yetu katka hiyo biashara,cha ajabu maafisa hao wakaanza blah blah blah,tukaamsha zetu maskani mambo yasijekuwa mengi.
 
Reactions: amu
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
 
Kiuweli mm sijawahi kuwaamini hao jamaa walishawahi nishawishi nijiunge niuze PC yangu Ili nijiunge na kipindi icho ilikuwa laki sita kujiunga duu hamna kitu maybe ukitaka ufanikiwe kwa hiyo business Basi ufahamiane na wenye hell asa kama Mimi najuana na watu wenye uwezo mdogo nawezaje kufanya hiyo biashara sina hamu nao
 
Ndio maana watu wanasema ukiambia dili na hao watu basi ujue wewe ndio fursa yao!! Nakubaliana na wewe kama kungekuwa na deal za kupiga hadi mil 60 wangewachukua dungu zao wa ukoo wao wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…