Mkuu ukiwa na hela hatuhitaji utwambie,zenyewe huwa zinajipambanua zina kiherehere wala hazihitaji kusemewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ninachojua wenye magari sio wachoyo ukiomba upigie picha,ukienda yard na plate number ya jina lako unachagua gari gani unataka uweke upigie picha kisha mnapatana,sidhani kama itazidi elfu 30[emoji16][emoji16][emoji16].
Mimi nimeenda mlimani city nyuma ya uchumi tower,nikakuta mapicha picha ya hivii,wengine wamepiga wana raum,vits nk,nikajiuliza kama mafanikio wanayozungumza ni kumiliki harrier old model,bas kazi yangu ni ya maana sana kuliko upuuzi wanaonieleza hapa.