theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
itajulikana tu mkuu kuwa na subilia....Umejuaje Na form bado!
DJ sepetu
hahaha kama hukupitia science lazma likuwie vigumu kulitamka mkuuu....Liko ka mwarobaini[emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
hahaha kama hukupitia science lazma likuwie vigumu kulitamka mkuuu....Liko ka mwarobaini[emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
mkuu tuko pamoja aiseee....Utani tu [emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Ndio mie ndugu yake kina Sky, Lady Aj, Ukhuty, Shunie na wengine wengi.Mdada wa tanga
hhaaha sawa comrade..... tukutane kwa training ya bwana OntarioShe is my sister from another mother but don't tell anybody!
DJ sepetu
Na kweli dada acha tubaki na ushamba wetuTuyaache dada ake utakuta Watanga sie ni washamba ndio maana.
Hatujui utamu wa mapenzi.
Ewaaaaaaaa alijue hiloNdio mie ndugu yake kina Sky, Lady Aj, Ukhuty, Shunie na wengine wengi.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Niambie best.
Kweli kabisa dada.Na kweli dada acha tubaki na ushamba wetu
hayo ma interview yako na wadada mkuu......πππ (kidding brother)Mkuu naomba details here fujo tena!
Zipi kwa mf!
DJ sepetu
Hahaaa. Utamuweza Antonio nimemfanyia kusudi.Ewaaaaaaaa alijue hilo
AhahahhhhHahaaa. Utamuweza Antonio nimemfanyia kusudi.
Alijue kabisa na ajue siko mwenyewe jf hii hivyo watetezi ninao.
Usiku mwema dada ake mana muda wangu wa kulala unakaribia.Ahahahhhh