Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Aiseee. Hicho tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna swahiba wangu alishawahi kunipa kosa kama chako ngoja nimuite naye aje aone.

@mgaa na upwa
Itakuwa kazamia Ngomeni moja aisee, kule ukweli nakuachia wewe mwenyeji utaunyumbua
 
Huu ulevi hauwezi kuniacha salama, sasa hivi nipo pande za G...b mtandaao nao unazingua nimebana sehemu karibu na nyumba kuvizia mawimbi ya post za JF
Kumbe ushafika kule. Hivyo ukiingia ndani ndio hatutakuona tena jf.

Pole sana mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom