Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hapo sawa mkuu. [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] basi nitakuwa katika mikono salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa mkuu. [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] basi nitakuwa katika mikono salama
Sina madhara mie dada. [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaoshwa rungu mpaka litakateAisee kweli Yale mambo unaweza mkana hata mama mzazi!
Huko tanga nasikia tu!
DJ sepetu
Hahaaa. Kwa uoga huo sijui kama atakwenda. [emoji23]Kweli ujue aende atuletee mrejesho
Nashukuru kama zilishafika mdogo wangu.Salamu zishafika kitambo sana
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Utaoshwa rungu mpaka litakate
Usije ukamtoroka au mkaenda hitimisha mapenzi yenu kuleAisee tutaenda Na Moneytalk tukajionee!
DJ sepetu
Naogopa sana mkuu yule mtoto akiniacha nitakufa kabisa, kuachwa kusikie tu si unaona wewe ulivyokuja unalia lia hapa ukiomba tukuombee msamahaHahaha mkuu waogopa kuachwa!
DJ sepetu
Babe wangu ni mmoja tu mbiti sema money talk kajichanganya tuMimi ni mzima kabisa,mkuu hivi babe wako wa JF ni nani hasa?[emoji53][emoji53][emoji53]
Kule ni wao kwa wao tu wanafunzanaHamna twaenda jifunza zaidi[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Kweli mkuu yaan ukiwa unakula huku unapulizaHawa wanawake inabidi tuishi nao kwa akili za sungura!
DJ sepetu
Mkuu nilijiona kama Niko kisiwani peke yangu chakula hakiliki maji hayanyweki!Naogopa sana mkuu yule mtoto akiniacha nitakufa kabisa, kuachwa kusikie tu si unaona wewe ulivyokuja unalia lia hapa ukiomba tukuombee msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua jaman [emoji1][emoji1]Sina madhara mie dada. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahaaa umeonaMkuu nilijiona kama Niko kisiwani peke yangu chakula hakiliki maji hayanyweki!
Tangu Leo nikisikia mtu kajitanguliza kwa sir God bila kuitwa sina neno! Mapenz nuksi ya Adam Na Eva
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kwenda nahisi akitongoza anauliza we unatokea wapii akijibiwa tanga ndukriiiiHahaaa. Kwa uoga huo sijui kama atakwenda. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije ukamtoroka au mkaenda hitimisha mapenzi yenu kule