Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Naogopa sana mkuu yule mtoto akiniacha nitakufa kabisa, kuachwa kusikie tu si unaona wewe ulivyokuja unalia lia hapa ukiomba tukuombee msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilijiona kama Niko kisiwani peke yangu chakula hakiliki maji hayanyweki!
Tangu Leo nikisikia mtu kajitanguliza kwa sir God bila kuitwa sina neno! Mapenz nuksi ya Adam Na Eva

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom