Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

Mrejesho Wa mpenzi Moneytalk!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Jana nilikuja kuomba support yenu kumtaka radhi ma baby mtoto mzuri hata miss world haoni ndani Moneytalk!

The good news ni kuwa ma mbebez kaona bwana wake niliteleza tu hivyo kanisamehe,thankz! Darling!

So unajua nn katika ile interview nilifunga hadi so yani!
I got a lesson!

Asanteni wote guys!

DJ sepetu
 
Naona tumekuwa washenga wa mapenz yenu..mkigombana mnakuja kutuambia mkipatana mnatuambia pia

sawa yote maisha
Hata wewe ukigombana Na Shem karibu usije ukajinyonga bure[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
images(1).jpg
 
hongera sana lakini siku nyingine usirudie kuropoka ovyo

ukimwagwa tena atukuombei msamaha
 
Back
Top Bottom