Mrejesho wangu baada ya kutumia Serengeti lite

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu kwema.

Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi.

Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo robo glass tu. Ila nilipojaribu Castle Lite Ijumaa niliona mabadiriko. Bia ina utamu wake.

Sasa leo nimepiga Serengeti Lite. Aisee kitu kinashuka kooni safi zaidi kuliko Castle. Yaani najiona kabisa sitakaa nikanywa Soda maisha yangu yote. Labda divai.

Asanteni.
 
Wewe lazima utakuwa she...

Vinywaji ulivyovitaja wanaume huwa hatuvigusi... ni mwendo wa K Vant, Konyagi na grants
 
Wewe lazima utakuwa she...

Vinywaji ulivyovitaja wanaume huwa hatuvigusi... ni mwendo wa K Vant, Konyagi na grants
Hahaha ni man mzee. Hahaha.

Naanza mdogo mdogo ngoja..
 
Pombe za mademu hizo,Rijali huwezi kunywa Serengeti lite afadhali unywe safari,au bingwa
 
Situmii kilevi chochote ila ikatokea lazima nitumie nitatumia bangi
 
..,Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi. ...! MAKINIKA
 
Weraaaaa weraaaaa
 
Pombe za ukubwani watch oit(kwa saiti ya pombe)

Wenzako wanatafuta namna ya kujinasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…