Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Sijaona Savannah kwenye list yako kulikonii? [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshatanga biashara. Lipia hilo tangazoWakuu kwema.
Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi.
Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo robo glass tu. Ila nilipojaribu Castle Lite Ijumaa niliona mabadiriko. Bia ina utamu wake.
Sasa leo nimepiga Serengeti Lite. Aisee kitu kinashuka kooni safi zaidi kuliko Castle. Yaani najiona kabisa sitakaa nikanywa Soda maisha yangu yote. Labda divai.
Asanteni.
Watu kujitia umwambaPombe za mademu hizo,Rijali huwezi kunywa Serengeti lite afadhali unywe safari,au bingwa